Jiji la Mbeya kama kijiji

Jiji la Mbeya kama kijiji

Mbeya ni mji wa kipuuz kama alivyosema mtoa mada. wao wanapenda sifa za kijinga tu lakini opportunities zipo ukizingatia upo njia panda ya MALAWI, ZAMBIA/ZIMBABWE/CONGO DR lakin kinachoiangusha mbeya ni UCHAWI narudia tena UCHAWI halafu ukiwakuta jumapili wanajazana makanisani utafikiri kweli wacha Mungu kumbe sanaa tu.

Kama unaweza kujenga hizo hotel Si uje ujenge Na babako maeneo kibao njoo ujenge unafikiri hotel ni kiosk kwamba Na hela za vitumbua utajengea
 
mjinga kweli wewe unaisifia dar jiji zima chafu nenda sasa hv mnapoita mjini kariakoo na posta mimaji kila sehemu CHUNGA ULIMI WAKO nakaa dar mbeya kwetu wewe itakuwa wa mbwinde MBEYA KWENYEWE UMESIMULIWA

USIBISHANE NA MJINGA UZURI WA MJI SIO MAGHOROFA AU MAUA KILA SEHEMU KAMA BUSTANI YA BIBI YAKO hahahahahahahahahahhaahahahahah
 
Tanzania hatuna jiji kama unalotaka kima wewe unatuita wachawi watu wa mbeya? kajipime akili yako
 
Nimetukana kimoyomoyo Mungu anirehemu, pole mleta mada, go try Amsterdam it is better off than any of our cities here in Tz. Ila uache dharau. Afterall God loves us all,usitutusi.
 
Eti mby kuna wachawi uliwahi kuona wapi mganga wa kienyeji anatoka mbeya au ombaomba ktkt jiji la mbeya nimetembea mikoa mingi hapa lakni mby ni miongoni mwa mikoa mizuri kwa kuishi
 
Mwanza city mie sana,mji umetulia na maendeleo yapo kwa watu na vitu.
 
du ila mleta mada kaegemea upande wa kuponda . alikuwa anatafuta hoteli nzuri Kwa bei nafuu. ksb sijasikia amezitaja hotel kama usungilo. beaco rink hill mkulu na mapub mengine kama mbeya carnival . na inaonesha hajawahi ishi mbeya na hapajui mbeya vizuri
 
andreakalima,

Yaaani sijui nikupe tusi gani linalo kufaa kwa kuwaita bibi zangu,babu zangu,wajomba zangu,wakwe zangu yaani mpaka mchumba wangu eti ni wachawiii.... anyway Mungu akusamehee karibu Mbeya ule chakula chochote unachotaka kipatikanacho shambani mpaka uvimbewe ukawasimulie na uko kwenu nyarugusu.
 
yaani mbeya mpaka huruma hivi hadhi ya jiji nani aliitoa kwa ki-mji kama hiki? si bora hata wangeipandisha hadhi CHATO?
 
yaani mbeya mpaka huruma hivi hadhi ya jiji nani aliitoa kwa ki-mji kama hiki? si bora hata wangeipandisha hadhi CHATO?

Umezunguka weee, kumbe nia yako uzungumzie chato! Well Mbeya city ulienda kwa shida zako mwenyewe! Akili za baadhi ya wana CCM ni kama za mbuzi tu!
 
Kiongozi hiyo ni Fursa
Asante kwa kufungua watu macho!!
 
Mtoa mada ana utani tu na watu wa mbeya.nimefika mbeya kuna kila kitu,,kizuri zaidi ni hali ya hewa
 
Katoswa na toto la kinyaki kwel maana huu uzi ukiangalia vizur huyu jamaa alikua anatafuta kitu flan hiv i mean totoz sa katoswa bas full pov dadeq
 
Katoswa na toto la kinyaki kwel maana huu uzi ukiangalia vizur huyu jamaa alikua anatafuta kitu flan hiv i mean totoz sa katoswa bas full pov dadeq

Afu jamaaa anaonekana ni bonge la pungu...
Anadhani watoto wakinyakyusa wananaswa kifaraa, aendelee na wa huko huko kwao swangamwalugesha ...jinga sana huyu
 
Afu jamaaa anaonekana ni bonge la pungu...
Anadhani watoto wakinyakyusa wananaswa kifaraa, aendelee na wa huko huko kwao swangamwalugesha ...jinga sana huyu
Nimejikuta nacheka hapa library mpaka watu wamenishangaa. Eti Sangamwalugesha. Unapafahamu huko mkuu? Nilishafika. Ni kuzuri sana!
 
Back
Top Bottom