Soweto ni moja ya mitaa jijini MbeyaHee sasa umebadili mawazo tena, namana ulitaka nisiulize nikafe kishujaa kama ng'ombe anavyo ongoza msafara mwenyewe machinjoni?
Naenda kuishi maisha, siendi kutafuta maisha kwa maana ya kwamba naenda na vitega uchumi kamili.Njaa Mbeya hamna
Ila Mbeya kuingiza hata buku tu ni mtiti.
Safi kabisa wife naleta halaka sana hiyo mikia (ng'ombe) tutimke zetu sowetu tukale mema ya nchi.Soweto ni moja ya mitaa jijini Mbeya
Usijiroge ukaenda baadhi ya maeneo huko Rungwe ukaagiza chipsi za buku jero, hakyanani utaziacha.Mbeya maisha smple sana mwakani nahamia huko nikajenge kiholela, hakuna njaa huko buku jelo unapata chips kavu ndoo nzima!.
Afu ndani zimepigwa lipu tu dari la kapeti 😅😅Aisee ni kweli, Mbeya mjini kumejengwa kiholela sana na pia kuna nyumba nyingi za udongo
Mbeya hawali mema,wanakula ndizi na parachichi😂😂Safi kabisa wife naleta halaka sana hiyo mikia (ng'ombe) tutimke zetu sowetu tukale mema ya nchi.
Figili bei chee 100 tu unpt figiliMbeya hawali mema,wanakula ndizi na parachichi😂😂
Hapana bhn Mbeya ina hadhi na vigezo vyote vya kuitwa jijiAfu alieipata mbeya kuitwa jiji ni nani?? Mbeya ni mji
Nyumba mbovu kuwahi kutokea za udongo planning hakuna yaan hovyo uHapana bhn Mbeya ina hadhi na vigezo vyote vya kuitwa jiji
Shule mlienda kufanya nini?.Afu alieipata mbeya kuitwa jiji ni nani?? Mbeya ni mji