Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,760
- 8,527
sasa teknolojia ikiwa ipo japan automatically na mbeya inakuwepo? huku hata taasisi kama NIC, TRA, BOT, NSSF, NMB, TANESCO, MUST, NBC Mahakama etc hazikupita ghorofa nne. unafikiri ni coincidence?
Dar, mwanza na Arusha ndiyo yakufananishia kwasababu taasisi hizi zilianza kujenga kwenye makao makuu ya kanda. katika sehemu hizo nne ni Mbeya tu walijenga majengo yasiyozidi ghorofa nne. tena taasisi zote. hujiulizi kwanini?Ukiacha Dar,labda na mwanza ni wapi hizo taasisi ulizotaja zina majengo marefu.
Yote haya ni sababu ya uongozi mzuri chini ya kamanda Joseph .O.Mbilinyi a.k.a Sugu kupitia chama cha chadema.
kama ulikuwa na bajeti ndogo ulitegemea ukalale hoteli kubwa, mtu una elfu kumi kisa umeambiwa mbeya maisha rais ukajua na guest pia kuwa na hela utapata yenye hadhi, ukija na elfu kumi yako tena utapewa godoro la chawa ili useme vizuriHotel gani hiyo unayoisema??
Kama jina lako lilivyo, lowasa ameacha kukuonga wewe. unakuja kwa wanaume wa mbeya.Vidume vya Mbeya vishamba hivyo. Havijui hata kutumia hela.
Hata ulaya kuna baridi zaidi ya mbeya na maisha yanaenda kama kawaidaI love Mbeya tatizo baridi too much
Mbeya mnatakiwa mjitahidi sana kuujenga mkoa wenu, kwani umekaa kibiashara sana ikiwemo kupakana na nchi nyingi za kusini. Pamoja na chakula kuwa kingi huko, ila msiwe mnakula mpaka mnajisahau kuuweka mkoa wenu kibiashara.
Tumieni fursa za hiyo mipaka mikubwa miwili ya kasumulu na Tunduma.
Hizi picha za project ni chache sana kwa hadhi ya mkoa wa mbeya ambao ni moja kati ya mikoa yenye wasomi wengi tanzania.
Mbeya photosView attachment 347650View attachment 347651View attachment 347652View attachment 347653View attachment 347654View attachment 347655View attachment 347656
Nonde , Iyela viwanja ni free of charge, mipango tuWeka picha, na
Huko viwanja ni kiasi gani??
Wadanganye ambao hawajafika Mbeya. Yaani hata USA river tu huwezi kuifananisha na Forest. Usijaribu kabisa kufananisha mbeya na Arusha. Angalia hata magari tu wanayotumia watu wa Arusha linganisha na ya watu wa mbeya. Angalia uwingi wa supermarket mpaka mitaani kuna supermaket za maana ambazo mbeya hata katikati ya mji huzikuti. njoo kwa upande wa Hotels huwezi linganisha mbeya na Arusha. Njoo club na place za kutulia kama Njerees Bristor, club D nk. Nakumati Woolworth nk hivyo ni vitu vinavyopatikana kwenye miji ya wajanja tu
Vidume vya Mbeya vishamba hivyo. Havijui hata kutumia hela.
Samahani dada lini mwisho ulitembelea mbeya na hotel gani ulilala......sidhani hotel ya dar mbagala ipl sawa dar maeneo ya masaki mikocheni na maeneo ya city centre.....hotel inaendana na eneoHivi Mbeya ni jiji au kijiji? Yaani hoteli utadhani guesthouses
Basi kama sababu ni Rift valley which is yes maana inarahisisha kutokea matetemeko,ila basi Japan kusingekuwa na magorofa maana huko pia ni sehemu ambayo ni pro matetemekoHakuna ushahidi wowote wa kihandisi unaosema kua rift valley inazuia ujenzi wa majengo marefu,uzushi huo wa kijinga ni wa layman wasioelewa uhandisi ujenzi,ilianza mara mwisho ghorofa 3 lakini kuna majengo yenye ghorofa 6 na NHIF karibu inamaliza jengo la gorofa 8 opposite na CRDB
Acha kubwata braza,nitajie maeneo ya jiji la mbeya ambayo yanafanana na hazo places za arusha,mbeya kuna slums ila sio kama hizo zenu.Kuhusu magari na mahotel iko wazi kwamba zinawalenga watalii na wachache wa kutoka mererani.Income gap kwa watu wa arusha ni kubwa sana,mtu kujenga nyumba arusha ni ishu just fananisha makazi ya individuals utaona.Hivi USA pale kuna nini cha kuipita Tazara/Iyunga opposite na TBL mfano,kamji kaduchu just 1km outwards ni matope lakini hang over za magorofa along main roads na CBD zinawasumbua sana
Acha kubwata braza,nitajie maeneo ya jiji la mbeya ambayo yanafanana na hazo places za arusha,mbeya kuna slums ila sio kama hizo zenu.Kuhusu magari na mahotel iko wazi kwamba zinawalenga watalii na wachache wa kutoka mererani.Income gap kwa watu wa arusha ni kubwa sana,mtu kujenga nyumba arusha ni ishu just fananisha makazi ya individuals utaona.Hivi USA pale kuna nini cha kuipita Tazara/Iyunga opposite na TBL mfano,kamji kaduchu just 1km outwards ni matope lakini hang over za magorofa along main roads na CBD zinawasumbua sana
Nyie watu wa arusha mbona hamjiamini, hii mada inaongelea mambo ya mbeya.Mbeya naifahamu pia,Isike,Mwanjelwa,Uyole, na maeneo mengi sana kama hayo hayapendezi kabisa...Mbeya hakuna ujenzi wa kutisha sana kama ilivyo Arusha au Moshi.Hizo nyumba huko Forest n.k huwezi kufananisha na za Sakina,Njiro au Shant town-Moshi.