Towashi wa 2
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 341
- 241
Kwa miaka mingi mji wa Mbeya ulikua unatambaa kimaendeleo lakini tangu upewe hadhi ya jiji 2005 na upepo wa kisiasa kubadilika,jiji limeanza kukua na kutoa matumaini ya kua jiji shindani na lenye hadhi ya kuitwa jiji kama majiji mengine nchini.
Miundombinu ya barabara,makazi,huduma za jamii,mapato,biashara vimeboreshwa sana na ujenzi wa majengo marefu umeanza.
Hongera Green City baby
Miundombinu ya barabara,makazi,huduma za jamii,mapato,biashara vimeboreshwa sana na ujenzi wa majengo marefu umeanza.
Hongera Green City baby