Jiji la Dar es Salaama - Dar es Salaam Tanzania historia yake na Uislam

Tuna ambiwa kulikuwa na mzizima na baadae Da es salaam

Lakini hii story ina toka kwa wakina tindwa na kukimbilia DSM

Pia tuwekee na picha za miaka hiyo Au ata vipande vya maandishi tujue rejea zako, kama ni za kutoa kichwani ni matatizo

Tuwekee hiyo misikiti ya kipindi hicho na makanisa ya sasa...

Mzee wetu Mohamed Said aliweza kuziandika hizi historia na kukubalika, na laiti angekuwa na uandishi kama huu basi asinge eleweka Au ata kupata tuzo mbalimbali ikiwepo ile aliyopewa na Jukwaa hili la Jamiiforum
 
Dar es Salaam ilikuwa ikiitwa “Mzizima”(Ikimaanisha mji wenye neema), ni mji wa zamani ulioanza mwanzoni mwa miaka ya 1857. Ingawa historia ya Mzizima ilianza tangu miaka 1000 iliyopita ambapo watu wa Barawa (ambao walijichanganya na Wazaramo na kuwa kati yao) ambao walitulia na kulima katika maeneo ya mbwa maji magogoni (kwa sasa kivukoni), Mjimwema na Gezaulole.

Mji ulianza kuonesha mabadiliko kutokana na ujio wa wa Masultani, Wajerumani na Waingereza. Mwaka 1866 Sultan Seyyed Majid of Zanzibar aliupa jina la ambalo ndilo linalotumika sasa neno la kiarabu lililomaanisha “Mbingu ya Amani”. Baaba ya kifo cha Sultan Majid mwaka 1870, Dar es Salaam ilianguka lakini iliinuka tena mara baada ya ulio wa kampuni ya Kijerumani (German East Africa Company) iliyoanzisha kituo cha biashara mwaka 1887 na kuuondoa utawala wa Kiarabu hata kutawala pwani ya Africa Mashariki.

Walijenga mamlaka kwa ajili ya kusimamia mambo malimbali ndani ya Africa Mashariki na kuanzisha biashara kwa ajili ya maendeleo ya njia ya reli ya kati.

Iliweza kukua kwa haraka kutokana na utawala pamoja na biashara ya Wajerumani Afrika ya Masahriki. Mwaka 1891 ulikuwa mji mkuu wa “Gerrnan East Africa“.

Dar es Salaam zamani Mzizima, ni mji mkubwa katika Tanzania na unapatikana pembezoni mwa bahari ya Hindi. Ni mji mashuhuri na ni muhimu kwani ni mji wa Kibiashara.
 
A0C5B4DE-2603-4529-A21B-2888D834572F.png

C8466771-D102-4510-85FA-818DC1D3F015.png
 
Attachments

  • 5B85E1D1-85E5-420C-930D-57E5453B31E8.png
    5B85E1D1-85E5-420C-930D-57E5453B31E8.png
    185.8 KB · Views: 35
Sultan Seyyid Majid hakujenga Ocean Road Hospital wala Ikulu ya Dar es Salaam. Eneo la Ikulu hata hivyo ndipo kilipokuwa kijiji cha uvuvi cha Mzizima.

Sultan Majid mji wake aliujenga eneo la kuanzia Waterfront hadi Posta ya zamani. Ikulu yake ilikuwa eneo la waterfront na nyumba Waangalizi wa mji ilikuwa Old boma na nyumba za wageni zilikuwa ilipo sasa Atiman House na nyingine ulivunjwa kukajengwa jengo la iliyokuwa Wizara ya Maji.

Baada ya Majid kufariki mwaka 1870 alitawala Baraghash ambaye hakuwa na nia ya kuendeleza Dar es salaam. Aliaucha mji ukadorora hadi walipokuja Wajerumani na kuitwaa Dar.

Ocean road ilijengwa mwaka 1897 ikiwa ni hospitali ya Wazungu, na pia Ikulu ilijengwa na Wajerumani mwaka 1891 lakini ilipigwa mabomu na kuharibiwa Wakati wa Vita ya kwanza, na ilikarabatiwa mwaka 1922 wakati wa Gavana Sir Horace Byatt chini ya Waingereza.

Kanisa la st. Joseph lilijengwa na Wamisionari Wabenediktini wa Mt Otilien kuanzia mwaka 1897 hadi 1903 japokuwa inasemekana katika eneo hilo kulikuwa na msikiti zamani lakini si kweli kuwa msikiti ulibadilishwa kuwa kanisa.
 
Usilolojuwa ni kuwa Waislqm ndio walioanzisha hospitality, waislqm ndio waliosnzisha chuo, suniani.

Elimu uliyonayo chanzo chake ni Waislam. Hata herudi unazotumia kuandikia zinaitwa "alphabet" ambayo inatokana Alif Be Te.

Simu ukutumia kuandikia ujumbe wake chanzo chqke ni wasomi wa Kiislaam.

Mzungu kaja kukugawa akutawale, wewe unamuona wa maana. Muislam aliyeingia cha kwanza kabisa kajenga chuo ili uelimike hilo hulioni¹. Hakika huo ni ujinga wa asili, ni wa kukupa pole tu.

How?, tusiweke mihemko ya dini zetu na mambo ya science ya dunia.
Simu zinafanya kazi kwa theories za electromagnetic waves, electronics, etc ambazo tunajifunza kwenye vitabu vya wazungu.
Medicine as well, in fact science yote ya hii dunia.
 
The Saint Joseph's Metropolitan Cathedral is a Roman Catholic cathedral in Dar es Salaam, Tanzania. It is a Gothic church located in Sokoine Drive, facing the harbour, close to the White Fathers' House. It was built by the Germans between 1897 and 1902 and consecrated as a Catholic church in 1905

HUONI KAMA UMEANDIKA UPOPOMA ULIOCHANGANYIKA NA UANAHARAKATI WAKO WA KUENEZA UISLAM KWA KIFICHO?
 
Wote hapa mnasahau kuw wamashomv ndio walianza kumilik mji.baada ya kupewa kandaras ya kumlinda yule chifu maeneo ya zaramu bagamoyo.hawakurud kwao bara.wakaomba kupewa rasi ya pembezon.ndipo wakasambaa kuja huku mpaka upande wa turiani ambayo ndio hio mbwamaj na pale kukaibuka mji mkubwa kabisa kibiashara.tiputip alikuwa akija hapo na kushusha bidhaa
 
Naomba nichangie kidogo kuhusu maana ya jina Daresalaam....jina Hilo maana yake ni pepo ya amani...sio bandari salama ...Brunei Wana mji unaitwa Bandar Salaam...manake bandari salama
 
Nawaza wazungu wasingekuja.. nchi nzima tungefundishwa uislamu tu na kuwa waislamu..

Tungekuwa kama Somalia , sharia za kiislamu zinatawala nchi.
Na Ni lazima ukikataa unakatwa kichwa. Yaani Mungu akulazimishe umuabudu kweli?
Dini inaenea kwa Vita ama kutiana hofu yaani Wana impact fear kwa mind za watu maana wanajua the first fear kwa binadamu Ni kifo so kila wanapoongea mentality yao ishakuwa Ni kufa ama kuuuwa Mara kukatwa kichwa kiwe pembeni na mwili.mara apigwe mawe mpaka age,Mara atobolewe macho,duu yaani hofu kwenda mbele. Sasa tumezaliwa ili tuogopeshane jamani.
Pia masuala ya kulazimishana Imani Kama mie unilazimishe kuwa Nile chakula gani ama nivaaje ,tuachane na hizi dini za wenye rangi Kama nguruwe sio maisha kabisa.mbona wao kila mtu Ana dini yake sema sio hapa ndio tunayumba. So afrika pekee ndipo pa kuletewa dini mpaka mavazi majina na Aina ya vyakula Kweli. Ngoja na wachina walete dini yao mana na wao wanaye Mungu wao.
 
Sultan Seyyid Majid hakujenga Ocean Road Hospital wala Ikulu ya Dar es Salaam. Eneo la Ikulu hata hivyo ndipo kilipokuwa kijiji cha uvuvi cha Mzizima.

Sultan Majid mji wake aliujenga eneo la kuanzia Waterfront hadi Posta ya zamani. Ikulu yake ilikuwa eneo la waterfront na nyumba Waangalizi wa mji ilikuwa Old boma na nyumba za wageni zilikuwa ilipo sasa Atiman House na nyingine ulivunjwa kukajengwa jengo la iliyokuwa Wizara ya Maji.

Baada ya Majid kufariki mwaka 1870 alitawala Baraghash ambaye hakuwa na nia ya kuendeleza Dar es salaam. Aliaucha mji ukadorora hadi walipokuja Wajerumani na kuitwaa Dar.

Ocean road ilijengwa mwaka 1897 ikiwa ni hospitali ya Wazungu, na pia Ikulu ilijengwa na Wajerumani mwaka 1891 lakini ilipigwa mabomu na kuharibiwa Wakati wa Vita ya kwanza, na ilikarabatiwa mwaka 1922 wakati wa Gavana Sir Horace Byatt chini ya Waingereza.

Kanisa la st. Joseph lilijengwa na Wamisionari Wabenediktini wa Mt Otilien kuanzia mwaka 1897 hadi 1903 japokuwa inasemekana katika eneo hilo kulikuwa na msikiti zamani lakini si kweli kuwa msikiti ulibadilishwa kuwa kanisa.
Acha uongo nenda ocean road mpaka Leo kunajengo Lina kibla Cha msikiti
 
Usilolojuwa ni kuwa Waislqm ndio walioanzisha hospitality, waislqm ndio waliosnzisha chuo, suniani.

Elimu uliyonayo chanzo chake ni Waislam. Hata herudi unazotumia kuandikia zinaitwa "alphabet" ambayo inatokana Alif Be Te.

Simu ukutumia kuandikia ujumbe wake chanzo chqke ni wasomi wa Kiislaam.

Mzungu kaja kukugawa akutawale, wewe unamuona wa maana. Muislam aliyeingia cha kwanza kabisa kajenga chuo ili uelimike hilo hulioni¹. Hakika huo ni ujinga wa asili, ni wa kukupa pole tu.
Kwamba kina plato socrates aristotle na wemgineo hawakujua kuandika hadi maelfu ya miaka baadae uislam ulipoanzishwa ndo na elimu ikaanza? Chai tumpumzishe bibi
 
Walia
Kwamba kina plato socrates aristotle na wemgineo hawakujua kuandika hadi maelfu ya miaka baadae uislam ulipoanzishwa ndo na elimu ikaanza? Chai tumpumzishe bibi
Wewe wacha porojo, umezisoma hati zao? Ndizo hizi unazotumia?
 
Walia

Wewe wacha porojo, umezisoma hati zao? Ndizo hizi unazotumia?
una hamisha goli, herufi tunazotumia leo zimetokea baada ya mageuko yaliyotokana baada ya muda mrefu na muingiliano wa tamaduni elimu za uyunani, germanic na nyenginezo.
 
una hamisha goli, herufi tunazotumia leo zimetokea baada ya mageuko yaliyotokana baada ya muda mrefu na muingiliano wa tamaduni elimu za uyunani, germanic na nyenginezo.
Hizo herufi zinaitwaje Kingereza?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom