Mbavu za mbwa ndo matunda ya kukikataa chama tawala. Na bado mpaka ifike 2015 zitakuwa ni mbavu za panya..! Mtakula mstari boko mpaka mchague chama tawala..!
hvi we jamaa ni mseeeeeeeeeeeeeeee....la nn? we unataja slams halafu unachukulia ndo zilizobeba Jiji?Kiukweli inavyosifiwa Arusha haifanani na misifa inayopewa.
1.Mitaa mingi ina nyumba mbavu za mbwa na iko 1km tu toka katikati ya jiji(Ngarenaro ovyo,Kambi ya fisi ovyo,Matejoo ovyo,Unga ltd ndo usiseme kila kitu ovyo.
2.Mibangi,Mirungi nje nje
Jiji gani hili wamelazimisha tu kua jiji.
Kwakua umeshakua adicted na Mirungi+Mibange kila kitu unaona sawa.hvi we jamaa ni mseeeeeeeeeeeeeeee....la nn? we unataja slams halafu unachukulia ndo zilizobeba Jiji?
unafahamu vigezo gani vinatumika tanzania kwa mji kuwa jiji?
halafu hizo mitaa umecompare na za jiji gani ndo useme hivyo?
Kiukweli inavyosifiwa Arusha haifanani na misifa inayopewa.
1.Mitaa mingi ina nyumba mbavu za mbwa na iko 1km tu toka katikati ya jiji(Ngarenaro ovyo,Kambi ya fisi ovyo,Matejoo ovyo,Unga ltd ndo usiseme kila kitu ovyo.
2.Mibangi,Mirungi nje nje
Jiji gani hili wamelazimisha tu kua jiji.
Mengi ana biashara gani za kuitwa bilionea?Huko kukariri ubilionea nako kunaharibu!
Nchi hii mabilionea ni
1.Rostam Aziz
2.Reginald Mengi
3.Mohamed Dewji
4.S Bakhressa
Hawa wa Arusha ni wapenda misifa tu.
2.
Mshukuruni Mungu ameiweka Ngorongoro pande hizo,vinginevyo mngeitwa kijiji cha Ujamaa Arusha.
Akili ndogo, hizi halafu unakuta aliepost hii eti na yeye anafamilia kabisa.Kiukweli inavyosifiwa Arusha haifanani na misifa inayopewa.