Jiji la Arusha hii ni AIBU!

Jiji la Arusha hii ni AIBU!

Akili ndogo, hizi halafu unakuta aliepost hii eti na yeye anafamilia kabisa.
Tatizo letu watanzania ndo hilo hatutaki kuambizana ukweli.
ARUSHA bado
 
Mbavu za mbwa ndo matunda ya kukikataa chama tawala. Na bado mpaka ifike 2015 zitakuwa ni mbavu za panya..! Mtakula mstari boko mpaka mchague chama tawala..!

Inamaanisha kabla kulikuwa na magorofa au?
 
Hicho chama tawala kimetawala kwa muda gani huko Arusha? Mbona hakuna mabadiliko yoyote? Hakina jipya zaidi ya UFISADI TU, tupa kule!
Kipeni nafasi nyingine, Arusha itakuwa Ulaya ya Africa
 
ccm tuachieni arusha yetu..ww kwenu wapi unaponda arusha coz inongozwa na cdm...watu wa arusha wanamioyo mikubwa ambayo haitishiwi na serikali ya magamba..kwa tanzania arusha is best place to live.
 
Back
Top Bottom