Jihadharini na huyu jamani hapo Dar Tech

Status
Not open for further replies.

panyabuku

Member
Apr 2, 2012
81
4
Kwa wanaofanya short course watoto wakike zingatieni masomo msidanganywe na huyu fiasadi wa mapenzi
 
That does not answer my question. Otherwise methinks you want to settle your personal scores especially your vendetta you have kept just like Ometta. Suppose I don't have that beautiful daughter or anything? Why don't you want to delve into the matter? Why have you started it if you don't have details? Do you think your ping pong will solve your problem?
Namjua huyo mkuu ukitaka detail zaidi mpeleke mtoto mzuri Dar Tech uone atakavyompokea
 
Du ufisadi kila sehemu watu wanakaba kote kote ehee pole samaki poleee wanavyokufanya wanavyokula mkia wanavyokula jicho poleeeeee.
 
Anaitwa Majura? Ndiyo nani huyu? Au mwaanza kuleta mambo ya Facebook hapa?

Kama watoto wenyewe wanajigonga shauri zao. Ila kama ni Mwalimu, hatakiwi kufanya kazi na anatakiwa kuishia Jela.
 
Msipende kukurupuka kuanzisha threads zisizo na kichwa wala miguu. Yanini kuanzisha thread kama jina la mtuhumiwa hulijui ama hutaki kuliweka bayana?
Mimi nafahamu DIT kuna walimu wengi tu mafisadi wa mapenzi kama walivyo walimu wa vyuo vingine nchini. Ni ukweli kwamba hao wanafunzi wa short courses wanatafunwa sana lakini funga kazi ni wale wanaofanya bridging courses ndio kimbembe zaidi kwani wanatafunwa sana ili wajipatia marks za kuwawezesha kupata enrollment.
 
Kijana wa Hayati Baba wa Taifa upo? Nawewe unamfahamu bwana Majura, a.k.a Mwalimu lamba lamba?
Mr Robati za Toronto -Ontario ndugu yangu naona huyu mtoto wa Baba wa Taifa anafurahia ufisadi wa mapenzi kwa kutaja vifungu vya Bible hakika atalaniwa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom