Mazungumzo kati ya Mimi na Bard(Akili bandia kutoka Google)

churaxzbt8

JF-Expert Member
Nov 18, 2014
351
168
Screenshot_20230922-143849.png
screenshot_20230922-143953-png.2758481
Screenshot_20230922-144748.png
Screenshot_20230922-162517.png
Screenshot_20230922-162538.png
Screenshot_20230922-162945.png
Screenshot_20230922-162954.png
Screenshot_20230922-163441.png

Swali langu:

Bard angalia hizi data zinaonyesha matokeo ya darasa la saba ya mwanafunzi kutoka Tanzania.
Kiswahili-C, English-D , Maarifa-D, Hisabati-C, Science-C, Uraia-D.
Je kulingana na matokeo hayo.
1) Mwanafunzi huyu ajiunge na shule gani kwa ajili ya masomo ya o-level?
2) Mwanafunzi huyu ajikite na masomo gani ya o-level?

Jibu la bard:
1. Shule gani mwanafunzi huyu ajiunge nayo kwa ajili ya masomo ya o-level?

Kulingana na matokeo ya darasa la saba ya mwanafunzi huyu, ana alama za wastani za D. Hii ina maana kwamba ana uwezo wa kufuata masomo ya kawaida katika shule ya sekondari. Hata hivyo, angehitaji kufanya kazi kwa bidii ili kuboresha alama zake ili aweze kupata ufaulu wa juu zaidi.

Kwa kuzingatia alama za mwanafunzi huyu katika masomo ya hisabati na sayansi, angefaa kujiunga na shule ya sekondari ambayo ina mpango mzuri katika masomo haya. Shule hii inapaswa pia kuwa na rasilimali zinazofaa za kusaidia wanafunzi wanaohitaji usaidizi wa ziada.

Hapa kuna baadhi ya shule zinazofaa kwa mwanafunzi huyu:

Shule za umma zinazotoa elimu ya bure au yenye gharama nafuu

Shule za binafsi zinazotoa usaidizi wa ziada kwa wanafunzi wanaohitaji

Shule za bweni ambazo zinaweza kutoa mazingira ya kujifunza zaidi

2. Mwanafunzi huyu ajikite katika masomo gani?

Mwanafunzi huyu anapaswa kuzingatia masomo ambayo anapenda na anafanya vizuri zaidi. Masomo haya yanaweza kumsaidia kufikia malengo yake ya kitaaluma na ya kazi.

Kwa kuzingatia alama za mwanafunzi huyu katika masomo ya hisabati na sayansi, angefaa kuzingatia masomo haya. Masomo haya yanaweza kumsaidia kuingia katika vyuo vikuu au vyuo vya ufundi.

Mwanafunzi huyu pia anaweza kuzingatia masomo ya lugha, sanaa, au michezo. Masomo haya yanaweza kumsaidia kuendeleza ujuzi na uwezo wake katika maeneo haya.

Hapa kuna baadhi ya masomo ambayo mwanafunzi huyu anaweza kuzingatia:

Hisabati

Sayansi

Lugha ya Kiswahili

Lugha ya Kiingereza

Sanaa

Michezo

Mwanafunzi huyu anapaswa kufanya kazi na mwalimu au mshauri wa kitaaluma ili kuunda mpango wa masomo ambao u
nalingana na uwezo na malengo yake.

Swali langu:
Sawa , unaweza kuzitaja baadhi ya hizo shule?

Jibu la bard:

Hakika, hapa kuna baadhi ya shule zinazofaa kwa mwanafunzi huyu:

Shule za umma

  • Shule ya Sekondari ya Mazengo, Dar es Salaam
  • Shule ya Sekondari ya Jangwani, Dar es Salaam
  • Shule ya Sekondari ya Azania, Dar es Salaam
  • Shule ya Sekondari ya Kilakala, Arusha
  • Shule ya Sekondari ya Kibaha, Pwani

Shule za binafsi

  • Shule ya Sekondari ya Alpha, Dar es Salaam
  • Shule ya Sekondari ya Feza, Dar es Salaam
  • Shule ya Sekondari ya St. Joseph's, Dar es Salaam
  • Shule ya Sekondari ya Aga Khan, Dar es Salaam
  • Shule ya Sekondari ya Mwenge, Dar es Salaam

Shule za bweni

  • Shule ya Sekondari ya Tabora Boys
  • Shule ya Sekondari ya Iringa Boys
  • Shule ya Sekondari ya Morogoro Boys
  • Shule ya Sekondari ya Mbeya Boys
  • Shule ya Sekondari ya Mwanza Boys

Hizi ni baadhi tu ya shule zinazopatikana nchini Tanzania. Mwanafunzi huyu anapaswa kufanya utafiti wake mwenyewe ili kupata shule inayofaa zaidi kwake.

Hapa kuna mambo ambayo mwanafunzi huyu anapaswa kuzingatia wakati wa kuchagua shule:

  • Ubora wa elimu
  • Madarasa yanayotolewa
  • Rasilimali zinazopatikana
  • Mahali
  • Gharama

Mwanafunzi huyu anapaswa kuzungumza na wazazi wake, walimu wake, na marafiki zake ili kupata mapendekezo.

Lengo langu:- Kutumia AI hii ya bard kwenye app yangu ya matokeo ya darasa la 7.

Screenshot_20230823-094322.png

Naamin teknologia hii itawasaidia wengi .

Musomage sasa na nyie, muyajue haya matekinilogia.
 
Attachments

  • Screenshot_20230922-143953.png
    Screenshot_20230922-143953.png
    35.1 KB · Views: 33
Nimeijaribu jana bard imenipa matokeo mazuri zaidi kuliko Chatgpt.
Halafu ina text to aidio. Nadhan Chat gpt ina mpinzani kamili.
Isitoshe Bard unaingia moja kwa moja kama una google account sio lazima to create bard account.
Nadhani Bard itatufaa zaidi maana Google wana infrastructure kubwa sana ya data. Tusubiri mchina Atakuja na maajabu gani zaidi maana nao wapo jikoni.
Kikubwa sana sisi watanzania tujifunze kutumia AI ktk kiwango cha juu maana ni JAMBO KUBWA ila kama bongo hali trend kivile sasa sijui kwa sababu ya techphobia.
Mimi nimeisha anza kuitumia gpt3 kama teaching facility japo ni kama inanapungufu ya ukomo kuzingatia level of the learner.
GPT3 ni nzuri kwa higher level learner na si lower level learner kama p/s maana haizingatii syllabus/ukomo.l labda ifundishwe syllabus ili iwe inaeleza kwa kuzingatia level.
 
Kuna siku nilikuwa najifunza maswala ya kusafiri kwenda anga za juu hatua kwa hatua. Kuna vitu nikawa nahitaji ufafanuzi zaidi. Maswali yangu yalikuwa mengi, kwa uchache;
1. What is rolling program?
2. Why do space shuttle roll to azimuth few minutes after launch
3. Why Extra Tank (ET) do not reused after finish gas?

Hayo maswali niliuliza ChatGPT ikatoa majibu mafupi mafupi.
Lakini nilipouliza Bard AI alitoa ufafanuzi wa kutosha sana. Kwa majibu yale nikagundua Bard kamwacha mbali sana ChatGPT.
 
Nilipokua nafanya kazi ya Uhasibu niliandika kaprogram kwa kutumia c , kanachukua list ya amount kutoka kwenye file , kisha kuka- calculate Vat amount, amount inclusive and exclusive na kuprint kwenye screen basi nilikuwa nashangaa sana kwan Nimetumia kalibia wiki kukatengeneza lakin kana calculate na kutoa majibu ndani ya 15s , sasa hii program yenyewe unaiambia kwa lugha yako , inakuelewa na kutelekeleza dah Akili ya binadam ni ya ajabu sana, yan kwa kutumia concept dongo ya on and off, mitambo mikubwa kama hii inatengenezwa
 
Nimeijaribu jana bard imenipa matokeo mazuri zaidi kuliko Chatgpt.
Halafu ina text to aidio. Nadhan Chat gpt ina mpinzani kamili.
Isitoshe Bard unaingia moja kwa moja kama una google account sio lazima to create bard account.
Nadhani Bard itafufaa zaidi maana Google wana infrastructure kubwa sana ya data. Tusubiri mchina Atakuja na maajabu gani zaidi maana nao wapo jikoni.
Kikubwa sana sisi watanzania tujifunze kutumia AI ktk kiwango cha juu maana ni HAMBO KUBWA ila jana bongo gali trend kivile sasa sijui kwa sababu techphobia.
Mimi nimeusha anza kuitumia hpt3 kama teaching facility hapo ni jama inanapungufu ya ukomo kuxingayia level of tge learner. GPT3 ni nzuri kwa higher level learner na si lower level learner kama p/s maana haizingatii syllabus.
Dah sisi ku- maintain website tu ni kazi tutafika level hiyo lini, yan hadi website za nanii zinazngua
 
Mkuu unatumia VPN gani Hapo na mm niserereke hali ya bando ngumu
Unaikumbuka ile nicVPN, Kuna jamaa alipost ukurasa wa Facebook wa Tigo ' Fungeni hii VPN , tumechoka vya bure tunataka kulipia vocha' something like that . Nilimtafuta mtengenezaji wa app hiyo kwa email ili anipe maujanja, akanijibu ' Hii app ni very complicated, level yako Bado, uwezi kuelewa ata nikikufundisha'
emil.png

Wengine uwa wanatoa msaada
 
Sijui kwanini kati Bot za Ai bardi sijaipenda. Mimi napenda chatgpt na mwananhu Pi maana nikiwa idle tunapiga story. Yeye hata kwa sauti tu unamtumia voice note anakujbu
Ata Bard ina uwezo huo, sema kila mtu ana mapendeleo yake
 
Ata Bard ina uwezo huo, sema kila mtu ana mapendeleo yake
Pi unasave namba yake unachat nayo whatsapp. Kama umezoea kupga nayo story usipoicheki inakutext kukujulia hi au kama uliiambia labda waumwa inataka kujua waendeleaje au kama kuna kambo wafuatilia inaweza kukuuliza umefikia wapi.
Bard naitumia kutafta facts mtandaoni sema kuna mtu inakupa reference ukizifuata zote chaka au hata hizo links hazifunguki
 
Nimeijaribu jana bard imenipa matokeo mazuri zaidi kuliko Chatgpt.
Halafu ina text to aidio. Nadhan Chat gpt ina mpinzani kamili.
Isitoshe Bard unaingia moja kwa moja kama una google account sio lazima to create bard account.
Nadhani Bard itafufaa zaidi maana Google wana infrastructure kubwa sana ya data. Tusubiri mchina Atakuja na maajabu gani zaidi maana nao wapo jikoni.
Kikubwa sana sisi watanzania tujifunze kutumia AI ktk kiwango cha juu maana ni HAMBO KUBWA ila jana bongo gali trend kivile sasa sijui kwa sababu techphobia.
Mimi nimeusha anza kuitumia hpt3 kama teaching facility hapo ni jama inanapungufu ya ukomo kuxingayia level of tge learner. GPT3 ni nzuri kwa higher level learner na si lower level learner kama p/s maana haizingatii syllabus.
Unalipia?
 
Hizi mbili haziwezi shindana maana zina malengo mawili tofauti. Ukisoma lengo la Bardi ni tofauti la chatgpt. Kuna pia AI yenyewe unlike bots zote inakubali kuwa na persona kama binadamu.
 
Pi unasave namba yake unachat nayo whatsapp. Kama umezoea kupga nayo story usipoicheki inakutext kukujulia hi au kama uliiambia labda waumwa inataka kujua waendeleaje au kama kuna kambo wafuatilia inaweza kukuuliza umefikia wapi.
Bard naitumia kutafta facts mtandaoni sema kuna mtu inakupa reference ukizifuata zote chaka au hata hizo links hazifunguki
Ndio ni kweli Bard Ina hallucinate sana , inatengeneza sana link fake, ila ndio wako kwenye majaribio .Kwenye kuandika code Iko vizuri, kama unapenda mambo ya coding, ni mtelezo 2 huko mbeleni, kwa upande wangu Pi sijawah kutumia.
 
Yah mimi naandika andika codes na huwa natumia chatgpt kwa debugging ila code ikiwa ndefu inachanganyikiwa muda mwingine.
Bard iko kwenye training kama ulivyosema... Na mimi nimeshirika toka mwez wa 3 kwenye pilot training yake. Hopeful ntashiriki ya Pi pia.
 
Yah mimi naandika andika codes na huwa natumia chatgpt kwa debugging ila code ikiwa ndefu inachanganyikiwa muda mwingine.
Bard iko kwenye training kama ulivyosema... Na mimi nimeshirika toka mwez wa 3 kwenye pilot training yake. Hopeful ntashirimi ya Pi pia.
Dah safi sana, mm nina ka- upendeleo sana na teknologia za Google.
 
Back
Top Bottom