Jihadharini na huyu jamani hapo Dar Tech

Status
Not open for further replies.
Mr Robati za Toronto -Ontario ndugu yangu naona huyu mtoto wa Baba wa Taifa anafurahia ufisadi wa mapenzi kwa kutaja vifungu vya Bible hakika atalaniwa
Hehehe! Huku salama kabisa ndugu.
Yes haifai kabisa kuchanganya masuala ya Imani na mambo kama haya ya matamanio ya kibinadamu, kama ya huyu bwana Majura.
Vipi ule mgogoro wenu na Tunguli mliumaliza?
 
Hehehe! Huku salama kabisa ndugu.
Yes haifai kabisa kuchanganya masuala ya Imani na mambo kama haya ya matamanio ya kibinadamu, kama ya huyu bwana Majura.
Vipi ule mgogoro wenu na Tunguli mliumaliza?
Ahahaha hahaha Tunguli mzushi yule ajarudi tena alikimbia na mjadala wa kunichafua ukafungwa kwasababu hauna mashiko...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom