sr bachelor
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,198
- 800
FIELDMARSHAL hii ni yake nayo ila haitumii siku hizi
Unajua maana ya name calling?
muulize le mutuz
W. J. Malecela
Huyo aliyetoa hiyo story ni muongo, huwezi ukampenda mtu ambaye mnachati kupitia simu na jf bila kuonana,
Mhhhhhhhhhh!! Job true true,hii moja inanishinda zingine za kazi gani?? Kweli watu hawa wanaharibu jukwaa ndo maana siku hizi kuna threads nyingi za kijinga.
Watu mnavyojiuliza eti Id nyingi za nini wakati karibia wote mnazoo khaa?? Watu kwa kujifanyishaa hamjambo
sio rahisi kumerge id's yenye different emails
Huyo aliyetoa hiyo story ni muongo, huwezi ukampenda mtu ambaye mnachati kupitia simu na jf bila kuonana,
Mimi siongei jumla mkuu, namuongelea huyu aliyeandika thread, maana nahisi kama nafahamu, ni kwamba ni ngumu sana kuclaim unampenda mtu ambae hamjaonana na hakuna posibility kuonana, ni ngumu mno, lakini pia inatakiwa aeleze kila kitu vzr na pia kuna watu wengine wakihisi kitu wanakiingiza kwenye mind zao na kukiamini hiyo ni mbaya sana..Inaonekana we ni mgeni sana wa wanawake! Labda kama unazungumzia wanawake wa sayari nyingine lkn hii ya earth anaweza kukupenda hata kwa sauti tu na hiyo ndio ikawa sababu.vingine vikafuata...women are complex creatures
Sikujua na wewe ni kilaza hivyo, na kwangu unapajua mkuu..?!Yaani muda ulioutumia kuandika haya ni bora ungeutumia kufanya usafi wa mazingira hapo kwako...
What a waste....!!!
Excel ni kosa kumiliki zaidi ya ID moja hapa jukwaani kuna uzi wa mods kule CC naomba ukaupitie tena unaotahadharisha kuhusu hiloJambo la kawaida kabisa hili, wala sheria za JF hazikatazi kuwa na ID zaidi ya moja wala hakuna sehemu mmeambiwa muwe na ID moja tu! otherwise mthibitishe! lol..
People possess ID's depending on the missions that they are after here...
Kuna watu wanafanyia kazi CIA na FBI, forgerying ni kitu cha kawaida kabisa kwenye maisha yao! sembuse kuwa na ID zaidi ya 1?
Jambo la msingi hapa ni kufuata kilichokuleta hapa...
Rodger that?
Watu mnavyojiuliza eti Id nyingi za nini wakati karibia wote mnazoo khaa?? Watu kwa kujifanyishaa hamjambo
Wewe umejuaje kuwa wanazo?