Jihadhari na makampuni ya Kitanzania yanayoagiza magari

Ungefuatilia mjadala huko juu kabla ya comment hizo mbili ungeelewa kwa nini nmemjibu hivyo.

Tafadhali jitahidi kusoma ya juu kabla ya kudandia treni katikati.

Nichafue kampuni ili iwaje? Je umeona nimetaja kampuni yoyote kuhusu utapeli?
Hii nimeikuta sehemu nikasema ngoja ni share na wewe kidogo mkuu Be forward wamejaza watu wangi mitandaoni kazi yao ni kupiga propaganda lakini ukweli magari yao sio.

Sidhani kama ni wahuni ila kwa experience ya watu wachache naowajua, gari za hii kampuni ni unanunua at your own risk. Hawana gari nzuri kama kwa mfano TRUST (japanesevehicles.com) au enhance auto, realmotor, autocom. Kuna watu wawili gari zikikuja na hali mbaya, moja ikakataliwa na TBS, mpaka repairs fulani zifanyike. Ila hizi kampuni nyingine gari hata ikiwa na mileage kubwa bado inakuwa nzima sana.
 
Hii nimeikuta sehemu na wewe ulikoment siku hiyo leo unatuambia waswahili matapeli,ukitapeliwa na Be forward unaita changamoto

Kuna rafiki yangu aliagiza noah kupitia hii kampuni ya Be forward , kulipokea gari bandarini dar , Tairi zote hazikufaa kutoka gari hapo ubungo ni mbovu na ball joint zote miguu ya mbele zilikuwa zimekufa.changamoto sio? Ulichokisema mkuu Uko sawa sawa kabisa.
Wana ofisi kule Moshi Kilimanjaro, ina Japan mfanyakazi mmoja , Kila siku anatafutwa na wafanyakazi wa uhamiaji .

Unatumia nguvu nyingi. Ueleweki unachotuzungumza. Sijawai kua na mjadala na wewe
 
Umesoma huo uzi au umeweka link tu? Kaibiwa vifaa gari likiwa wapi?
 
Hii nimeikuta sehemu nikasema ngoja ni share na wewe kidogo mkuu Be forward wamejaza watu wangi mitandaoni kazi yao ni kupiga propaganda lakini ukweli magari yao sio.

Sidhani kama ni wahuni ila kwa experience ya watu wachache naowajua, gari za hii kampuni ni unanunua at your own risk. Hawana gari nzuri kama kwa mfano TRUST (japanesevehicles.com) au enhance auto, realmotor, autocom. Kuna watu wawili gari zikikuja na hali mbaya, moja ikakataliwa na TBS, mpaka repairs fulani zifanyike. Ila hizi kampuni nyingine gari hata ikiwa na mileage kubwa bado inakuwa nzima sana.
The same ina apply hata kwa beforward lazima upewe vehicle inspection sheet na ujue grade ya gari yako....

Tofauti ya beforward na hawa wabongo wa instagram ni kuwa hawa wabongo ni madalali juu ya madalali yani wanakununulia gari kwenye hizi hizi site za kina beforward na kuweka cha juu....
 
Jamaa wapo vizuri
 
Umesoma huo uzi au umeweka link tu? Kaibiwa vifaa gari likiwa wapi?
Nimeusaoma vizuri kwakifupi ni kwamba alitapeliwa baada ya kuagiza Gari Be forward nakulipia kila kitu hadi usafiri wa local gali limefika kijijini kwao limieibiwa vipuli baada ya kugundua akapiga simu Be forward dar na Japana bado akupewa ushirikiano kwaiyo jamaa anatoa taadhari watu wasiagize magari kupitia kampuni hiyo ambayo unaiporomoti unatuambia sio matapeli twende tukaagize huko .
 
Unatumia nguvu nyingi. Ueleweki unachotuzungumza. Sijawai kua na mjadala na wewe
Mkuu nilikuonya nilikuambia hii gia unayotumia kutangaza Be forward na SBT sio gia mzuri ukaniambia na mimi ni walewale matapeli angalia sasa nani tapeli watu wanazidi kuleta ushahidi ngoja tuone mwisho wake utaukimbia huu uzi kijana.
 
Ushahidi uko wapi?
 
Nimeusaoma vizuri kwakifupi ni kwamba alitapeliwa baada ya kuagiza Gari Be forward nakulipia kila kitu hadi usafiri wa local gali limefika kijijini kwao limieibiwa vipuli baada ya kugundua akapiga simu Be forward dar na Japana bado akupewa ushirikiano kwaiyo jamaa anatoa taadhari watu wasiagize magari kupitia kampuni hiyo ambayo unaiporomoti unatuambia sio matapeli twende tukaagize huko .
Hawa jamaa ukiwachunguza vizuri uwezi kuagiza gari kwao Be forward wanatamaa sana ya pesa ni kweli sio wajapani hizi ni tabia za wahindi wanataka kufanya biashara zate za Dunia hii, wanauza magari wanauza viwanja wanauza nyumba wanauza spare wanauza madini kila biashara wanataka wafanye wao kha ni watu nanamnaga hawa?
 
Mkuu nilikuonya nilikuambia hii gia unayotumia kutangaza Be forward na SBT sio gia mzuri ukaniambia na mimi ni walewale matapeli angalia sasa nani tapeli watu wanazidi kuleta ushahidi ngoja tuone mwisho wake utaukimbia huu uzi kijana.

Sasa mimi inanihusu nini kukimbia au kutokimbia uzi. Huwezi nionya maana we si mzazi wangu. Siko kutangaza kampuni ya mtu. Kama unaona wewe ni tapeli ni sawa.

Jifunze kujitegemea. Sipo mitandaoni kubishana, naamua jambo gani jibie au nisijibu.
 
Real Motor Japan wafungua account kwenye platform yetu ya business forums kupitia kwenye kapuni ya Digxam kama wwe unatafuta gari kutoka Japan tunawasogeze huduma kiganjani mwemu karibu uliza swali jinsi ya kuagiza magari yenye Grade nzuri kutoka Japan kupitia Real Motor Japan kwa bei nafuu,

Pia Digxam tunakutengenezea platform yako kwajina la biashara yako itakayo kutengenezea mazingira mazuri ya kufanya mambo ya futayo
1.Kutangaza kampuni yako na kuwafikia wateja wengi bila kutumia nguvu nyingi wala pesa nyingi
2. Kupokea pesa kwanjia za kidigital
3.Sio lazima kuwa na website ili kufanya biashara yako
4.Kuwasiliana na wateja kwaukaribu sana
5.Kuuza bidhaa zako na kununua kwanjia ya minada
faida nyingi kuzidi maelezo tembelea tovuti yetu Buy or Sell Anything Yourself With Either Auction or Without Auction. ujisajili leo upate huduma zetu kwa bei ya offa.

NB: kama unabidhaa yoyote unataka kuuza nakupata pesa yako chapchap iweke kwenye mnada wale kabla ya sikuku ujipatie wateja bonye hapo kujiunga na mnada Auction Page – Buy or Sell Anything Online Now.
 
The same ina apply hata kwa beforward lazima upewe vehicle inspection sheet na ujue grade ya gari yako....

Tofauti ya beforward na hawa wabongo wa instagram ni kuwa hawa wabongo ni madalali juu ya madalali yani wanakununulia gari kwenye hizi hizi site za kina beforward na kuweka cha juu....
Acha kudanganya watu hii kampuni imeumiza watu wange
 
Kaka,
Jamaa hajanitwist niliona ameweka web yake nami nikapitia ni kama middle man. Uzi wangu haujasema wote ni matapeli ila nimetoa tahadhari maana watu wengi wanalizwa mno.
Mimi nishakutana nao sana na siwezi kuagizia gari kupitia middle man kabsa na sishauri mtu aagize gari kupitia hawa watu....

Though kuna wengine ni waaminifu ila ni nadra sana....
Ni kweli wapo Waadilifu ila changamoto ni jinsi ya kumtambua huyo muadilifu miongoni mwa wengine.

Ni kama kucheza kamari, upate au ukose.
 
Tangu 2015 na agiza Magari kwa kutumia SBT japan tanzania.
utafungua account yako , kama vile gmail.
chagua gari ziko za bei tofauti touti kulingana na uwezo wako.
hapo hapo kuna makadirio ya kodi ya gari yako uliochagua.

mpaka gari kufika bandari ni siku 40 mpka 50.

hizo kampuni hasa za pale milimacity ni janga, hata hizi gari zinazouzwa kwenye yard mara zote wanabadirisha vitu.

biashara zetu sisi watu weusi bado sana.

kuna hawa jamaa wa kampuni za kuuza viwanja.
''viwanja vyote vina hati" nunua kiwanja, lipa kwa awamu maliza fedha zao.Waambie wakukabidhi kiwanja na hiyo hati🤣🤣safari ya kudai hati ina anza, nenda rudi mwaka wa kwanza nenda rudi mwaka wa pili nenda rudi mwaka wa saba!

watu wakisikia hati wanashawishika kununu viwanja, ili wakipata hati waende kwenye taasisis za fedha kukopa.
Ila haya yanafanyika kwasababu na taasisi zetu za serikali ni corrupt
 
Ungefuatilia mjadala huko juu kabla ya comment hizo mbili ungeelewa kwa nini nmemjibu hivyo.

Tafadhali jitahidi kusoma ya juu kabla ya kudandia treni katikati.

Nichafue kampuni ili iwaje? Je umeona nimetaja kampuni yoyote kuhusu utapeli?
Achana nao hao mkuu, naona wanahisi unawafungua watu macho.Ignore them. Wenye shida ya kujua elimu hiyo tunaona chuya na mchele.
 
Watu wanatapeliwa nyie mnakalia uzawa uzawa. Kwani mimi uliyenitapeli sio mzawa?

Nyie ndio wale mnashirikiana nao mpo kwenye group za whatsapp mnajaza watu upepo....

Pathetic....
Mkuu, achana nao hao. Pia shukrani kwa elimu hiyo, nimejifunza kitu.
 
Habari wa JF,

Katika pita pita zangu mitandaoni hasa JF na instagram nimeona kuna kampuni/watu wanaofanya huduma za kuagiza magari nje kwa masharti ya kulipia nusu na kumalizia kiasi kilichobaki baada ya gari kufika. Mengi ya makampuni hayo (Sisemi wote) ni "MATAPELI WAKUBWA SANA" na huu ni mchezo ambao huwafanyia wateja wao.

1. Huwa wanapost gari kwenye mitandao either wameliona kwenye site za magari au wana picha zake.

2. Baada ya kupost wateja wataliulizia na wanakuambia lipo.

3. Then watakufikisha kwenye ofisi zao nyingi zipo posta na maeneo ya mwenge- sinza- mlimani city.

4. Mtaingia mkataba na wewe kufanyia malipo gari hilo nusu. Hapa mnaweza kuwa hata wateja wanne mnafanyia malipo gari moja.

Baada ya malipo ndio mchezo unaanza.

Kwanza hawatakuonyesha chasis number ya gari na pia watakutajia km chache mno lets say between 40,000-70,000 ila kamwe hawatakupa picha ya odometer.

Baada ya hapo jamaa huwa wanaingia mzigoni kuanza kutafuta gari inayofanana na ile uliyoagiza may be kwa rangi.

Wakiipata huko japan kwa bei rahisi watakuuagizia ila zile zilizopata ajali na kufanyiwa modification. Au wakiukosa wanakutafutia hapa bongo gari kama ile na kule japan/nje wanakuagizia chasis number tu na vile vibati vya chasis number kwenye mlango then vikifika bongo wanakubandikia kwenye gari then wanakuambia gari imefika. Kumbe badala ya kuagiziwa gari umeagiziwa chasis number then gari inabandikwa na kufanyiwa usajili upya.

Kampuni hizi mara nyingi zinakua na blaah blaah ukiwauliza maswali na magari yao mara nyingi yanachelewa sana. Ili ku buy time ya kufanya manuva yao.

Unaponunuua gari mtandaoni hakikisha kabla ya kulipia unafanya yafuatayo.

1. Pata picha ya gari lote mpaka odometer.
2. Pata chasis number ya gari (Hii itakusaida kujua hilo gari lipo au laah).
3. Omba auction report/sheet. Check picha hapo chini... Wauzaji wajanja wajanja hawakupi hii hata iwaje....

USIFANYE MALIPO KAMA HUJAPEWA HIVYO VITU LA SIVYO UTAUZIWA PICHA YA GARI BADALA YA GARI.....

Kesi za namna hii zipo sana central police na washawachoka hawa watu ila bado watu wanaendelea kupigwa sana.....

Chukua tahadhari.

Siku njema.

Mkuu, Nikiwa na Chasis number...naweza kujuaje kama gari lipo ama laah! naSearch wapi?
 
Back
Top Bottom