Jack Lee
Senior Member
- Feb 23, 2011
- 152
- 65
Uchawi mtupukila mtu ni meneja masoko
Uchawi mtupukila mtu ni meneja masoko
Be forward wapi vizuri Sana. Nimenunua gari 3 kwao direct Tena nilipata discount ya 800 USD per unitKampuni ni SBT na Beforward TU,huko kwingine nenda ukiwa umejiandaa kisaikolojia
Kijana sijui umekunywa mchuzi wa wapi...Hapa sijaona kampuni yoyote ya wabongo zaidi ya porojo makampuni yote Dunia yana majina sijaona jina hata moja la kampuni inayoshutimiwa kufanya utapeli, mleta mada ametumwa na Be forward na SBT kuchafua makampun ya wazawa kwaujila kidogo nanyie mnaingia kwenye mtego na kukandamiza nduguzenu kwatuhumu za uongo nakushangili wahindi wakichukua fursa zenu mswahili acha ujinga amka kwenye usingizi wa pono mleta mada kama kweli anachokiongea ataje jina la kampuni na watu wote waliotepiliwa kwa namna moja au nyingi waweke ushahidi wasije porojo na kuchafuliana hii ni tabia mbaya sana watu wanalipa kodi wanaajiri watu mtu moja naishi kwa shemeji yake anakuja nakufungua uzi wakuchafua makampuni bila ushahidi.
Nimesoma comments zote vizuri kunakitu nimejifunza, mleta mada kaanzisha mjadala mzito sana na muhimu bila kujua japo yeye alilenga baadhi ya wazawa baada ya kupitia comment moja baada ya nyingine nimegundua kuna udanganyifu mkubwa pia unafanywa na makampuny makubwa ambaya mnaya promot hapa jamvini, inawezekana wanaumiza watu wengi kinjanja bila hata baadhi ya wateja wao kujua hii imejulikana.Kijana sijui umekunywa mchuzi wa wapi...
Wabongo ni matapeli wa kutupwa wengi janja janja tu.
Ikifikia muda wa kuleta ushahidi nitakuletea.
Ila hawa wa lipia nusu na gari ikifika utamalizia wengi ni wezi hakuna lolote...
Soma post za juu nmeweka baadhi ya convo....
Most of them ni matapeli wakubwa....
Nimesoma comments zote vizuri kunakitu nimejifunza, mleta mada kaanzisha mjadala mzito sana na muhimu bila kujua japo yeye alilenga baadhi ya wazawa baada ya kupitia comment moja baada ya nyingine nimegundua kuna udanganyifu mkubwa pia unafanywa na makampuny makubwa ambaya mnaya promot hapa jamvini, inawezekana wanaumiza watu wengi kinjanja bila hata baadhi ya wateja wao kujua hii imejulikana.
Digxam waendelee kutoa elimu ili waagizaji tuelewe jinsi kutambua grade za magari ikiwezekana watuweke na bei kulingana na grade za magari kwenye minada pia watuambia kila grade inamaana gani hii elimu ni muhimu watu wakijua na kuelewa inasaidia sana itatutoa kwenye mabox
Makampuni mengi yanatumia uelewa ndogo wa wateja wao kuwatapeli kuwauzi magari yenye grade ndogo kwa dhami ya grade ya juu , mtu anagundua baada ya mika milia au mitatu kuwa alipigwa kama ni gari la biashara linarejesho litasumbua sana .
Mkuu unaonekana uko kimkakati kuchafua makampuni ya wazawa kama wew ni raia wa Tanzania utakua na metality za kitumwa jamaa kakuambia utoe elimu kuhusu udanganyifu wa grade za magari unamtoa kwenye reli jikite kwenye mada acha janja janja ili mwende sawa inawezeka mwisho wa picha ukaonekama tapeli bila kuweka mambo sawaNimepigiwa simu na kutukanwa kisa kutoa maoni
Habarini za wakati leo, nimekutana na mkasa ulioniacha mdomo wazi. Siku mbili nyuma niliagiza mzigo kutoka China na nikasafirisha na kampuni moja kimsingi ilikuwa ni mara ya kwanza kuwatumia. Mzigo ulivyofika nilipata usumbufu namna ya kumfikia transporter wa kuleta mkoa nilipo. Karibu siku...www.jamiiforums.com
Pitia mfano huu uzi.
We have a lot to learn...
Wakiniambia nilipe nusu wanipe kishika uchumba nami niwe na amani kwamba wakizingua napiga bei kurudisha pesa yangu.Na hizi habari sambazeni na kwenye ma group ya whatsapp kwa wingi.
Sipendi dhuluma na uonevu. Kama ni Hela Mtu Atafute Ya Halali Sio Kuonea na Kudhulumu Wengine Plus ni mambo kama haya yanafanya hata wengine wanaofanya biashara hizi ki halali na wao waonekane sio wa kweli.
It Has To End.
Ungefuatilia mjadala huko juu kabla ya comment hizo mbili ungeelewa kwa nini nmemjibu hivyo.Mkuu unaonekana uko kimkakati kuchafua makampuni ya wazawa kama wew ni raia wa Tanzania utakua na metality za kitumwa jamaa kakuambia utoe elimu kuhusu udanganyifu wa grade za magari unamtoa kwenye reli jikite kwenye mada acha janja janja ili mwende sawa inawezeka mwisho wa picha ukaonekama tapeli bila kuweka mambo sawa
Good mkuu....So What Are The Major Japanese Car Auction Grades?
With that said, let’s look at the different overall auction grades and what they mean about the overall condition of the car:
Grades 7, 8, 9 or S– These refer to a brand new car with only delivery mileage.
Grade 6– This grade can sometimes be equivalent to the grades above, but sometimes will have a little more than just delivery mileage.
Grade 5– A vehicle in superb condition, very close to brand new standard, but with several thousand kilometers on the odometer.
Grade 4.5– A vehicle in excellent condition, but with up to a few tens of thousands of kilometers on the clock.
Grade 4– A good, solid vehicle usually having less than 100,000 km on the clock.
Grade 3.5– A higher mileage vehicle or one which will need some work to clean up.
Grade 3– Either a very high mileage vehicle or one which is rough.
Grade 2– A very rough vehicle usually with corrosion holes triggering this low grade.
Grade 1– Usually a heavily modified vehicle which has had a different engine or transmission fitted, or which has an aftermarket turbo charger. Other possibilities are flood or fire extinguisher damage.
Grade R, RA, A and 0 (zero)– These are vehicles that have had some degree of accident repairs. At one end of the spectrum the repairs will be a single panel replaced due a minor parking ding, whereas at the other extreme there are vehicles that must have rolled in an accident which have had almost every panel replaced.
Ungraded vehicles ()– These are sold as-is by the auction with no or almost no information about their condition. As such they are very risky and can result in escalating additional costs if they cannot drive or move.
What Kind Of Information Is Available On An Auction Sheet?
The first thing you will notice is that you probably can’t read most of this as it is in Japanese. Well don’t worry about that as this is what we are here for you www.digxam.com . For any cars you have a serious interest in bidding on, you can request a translation from a highly-qualified human translator.
You will also spot that the inspection reports are divided into sections, as you can see on the left. Some parts you can read, such as the overall grade, interior grade or the annotations on the "car map".
So, what are the main sections in this report?
Auction Grade is the Auction Inspector's assessment of the o...
- Details of the car itself (such as KM, model name, basic equipment etc)
- The overall grading of the car.
- This includes the interior grade (and sometimes also exterior grade) of the car.
- Seller’s sales points.
- Auction inspector’s written comments.
- The “car map” showing exterior damage
Watu wanatapeliwa nyie mnakalia uzawa uzawa. Kwani mimi uliyenitapeli sio mzawa?Mkuu unaonekana uko kimkakati kuchafua makampuni ya wazawa kama wew ni raia wa Tanzania utakua na metality za kitumwa jamaa kakuambia utoe elimu kuhusu udanganyifu wa grade za magari unamtoa kwenye reli jikite kwenye mada acha janja janja ili mwende sawa inawezeka mwisho wa picha ukaonekama tapeli bila kuweka mambo sawa
Kwenye magroup ya whatspp na FB ndio kuna makampuni ya waagizaji wa magari nani asiejua kumejaa utapeli na sio wa magari tu bali kunautapeli wa kila aina na sio hapa Tanzania tu bali ni sehemi kibao Dunia pia wanaotapeliwa kupitia kwenye magroup ni washamba tatizo hapa ni kichwa cha habari kinaonyesha nia yako kwa makampuni ya ndani kuwa sio mzuri pia na mtazamo wako pia kwa makampuni ya ndani sio mzuri.Watu wanatapeliwa nyie mnakalia uzawa uzawa. Kwani mimi uliyenitapeli sio mzawa?
Nyie ndio wale mnashirikiana nao mpo kwenye group za whatsapp mnajaza watu upepo....
Pathetic....
Kwani hata wakiwa na website si watakupa contact na mwishowe wataanza kuwasiliana na wewe through whatsapp? Na ofsini utapelekwa na kupigwa utapigwa.... Haki yako unaweza ipata ila kwa ubabaishaji...Kwenye magroup ya whatspp na FB ndio kuna makampuni ya waagizaji wa magari nani asiejua kumejaa utapeli na sio wa magari tu bali kunautapeli wa kila aina na sio hapa Tanzania tu bali ni sehemi kibao Dunia pia wanaotapeliwa kupitia kwenye magroup ni washamba tatizo hapa ni kichwa cha habari kinaonyesha nia yako kwa makampuni ya ndani kuwa sio mzuri pia na mtazamo wako pia kwa makampuni ya ndani sio mzuri.
Wabongo wengi hata zilizopata ajali hawana na pesa yako nyingi wakutapeli wewe huoni tofauti?Hata wakina Beforwad na Autocom ni makampuni yanayo deal na magari ya ajali, mafuriko na grade za chini sana. Ndio maana gari zao ni Cheap
Mwenye rating ya gari za grade ya juu sana na watanzania wengi hawanunui huko ni enhance-auto.jp hao wana gari chache lkn za bei mkasi Na za ubora, kwasababu wanauza grade nzuri sana.
Enhance gari zao huwez kuta za ajali, au zenye kutu. Ingia hata kwa website yao uone bei na quality ya gari na mara nyingi wanaweka auction sheet wazi.
Ila akina bi-mbele kama kawa kama dawa sema ni waaminifu ila gari zao ni choka mbaya
Ukweli ni kwamba Iliuweze kufanya biashara ni lazima usome soko linatakaje, ukifanya kinyume na matakwa ya soko magari yako au bidhaa zako utapiganazo picha nfano mzuri nenda kariakoo makampuni kama Panasonic, Philips, Hitachi, Honda, shap ... bidhaa zao ni adimu sana kwasabu wateja wanaangalia bidhaa za bei nafuu bila kuangalia ubora wa bidhaa .Hata wakina Beforwad na Autocom ni makampuni yanayo deal na magari ya ajali, mafuriko na grade za chini sana. Ndio maana gari zao ni Cheap
Mwenye rating ya gari za grade ya juu sana na watanzania wengi hawanunui huko ni enhance-auto.jp hao wana gari chache lkn za bei mkasi Na za ubora, kwasababu wanauza grade nzuri sana.
Enhance gari zao huwez kuta za ajali, au zenye kutu. Ingia hata kwa website yao uone bei na quality ya gari na mara nyingi wanaweka auction sheet wazi.
Ila akina bi-mbele kama kawa kama dawa sema ni waaminifu ila gari zao ni choka mbaya
Nimepigiwa simu na kutukanwa kisa kutoa maoni
Habarini za wakati leo, nimekutana na mkasa ulioniacha mdomo wazi. Siku mbili nyuma niliagiza mzigo kutoka China na nikasafirisha na kampuni moja kimsingi ilikuwa ni mara ya kwanza kuwatumia. Mzigo ulivyofika nilipata usumbufu namna ya kumfikia transporter wa kuleta mkoa nilipo. Karibu siku...www.jamiiforums.com
Pitia mfano huu uzi.
We have a lot to learn...
Wabongo wengi wavivu mzee, BF wanafanya poa sana so far
Hii nimeikuta sehemu na wewe ulikoment siku hiyo leo unatuambia waswahili matapeli,ukitapeliwa na Be forward unaita changamotoKampuni za bongo ni janja janja.