Jihadhari! Google wanakujua kuliko mama yako

Jihadhari! Google wanakujua kuliko mama yako

Mnayasema ya google ila hizi tv zenu mnaita smart tv hamzisemi wakati zinauwezo wakuwarekodi hata unapoizima nakuiacha kwenye standby mode,wengine mmezielekezea kitandani kabisa
 
Yaani ukichunguza haya unaweza kuchanganyikiwa
Kuna smart fridge, smartphones, smart tv, smart watch
Hii naiogopa zaidi ni smart tv ambayo inakuona na kukusikiliza unachoongea hahaha
Tupo kwenye zama za kutisha sana kwanza wanasiasa ndio siri zao nje nje, anachoongea kwa siri, huko wanamchora tu na wanapanga mikakati.
Unaalika mzungu anaacha kinasa sauti kidogo kama punje kwenye meza.
Hapo wanakuchora tu hahaha
Sijui usalama Wa taifa wanaishije katika mazingira haya na smartphone zao!
 
Mfano kwa sasa namgegeda wife na data iko on google watajua hili?
 
Kwani wakati unajiunga, hukukutana na kitufe cha agree terms and conditions?

Kuwa mpole!
Ila hawa jamaa wajirekebishe, masuala unagoogle kitu yanaanza maneno ya ajabu hatutaki.

Mfano unataka kugoogle neno kutohoa , ukianza kutype kuto .... utaona maneno yanayokuja hapo halafu mbaya zaidi umekaa na mtoto.
 
Since google wameanza kunifuatilia.. Impact gani Nimepata kwa ufuatiliaji huo?
 
Back
Top Bottom