Jihadhari! Google wanakujua kuliko mama yako

Najihadhari ndio lakini msiwaaminishe watu kuwa Google ndio kila kitu
una app ya chrome kwa simu yako? kama ipo nenda setting kisha apps bonyeza kwenye chrome kisha bonyeza sehem walipo andika permission uniambie app kama hiyo kwanini imetaka acces kwenye
location
microphone
contacts n.k na kama u.ekuta hizo features zipo enabled jiulize wamekurekodi mangapi mpaka sasa bila wewe kujua
 
Kama nikitoa simu dukani na enable kila permission.
 
Ndio maana Putin alisema barua zote za ikulu ziandikwe kwa typewriters za zamani

Mitandao haipo tu kujua unaangalia nini bali ni kwa ajili ya takwimu,data na kibiashara zaidi.
Wanajua unapenda kuvaa aina gani za nguo, unapendelea chakula gani na hizo data zako huuzwa kwenye makampuni na masoko makubwa
Usishangae ukaona kwenye simu yako matangazo ya biashara kwa kitu ulichoangalia juzi
 
una app ya chrome kwa simu yako? kama ipo nenda setting kisha apps bonyeza kwenye chrome kisha bonyeza sehem walipo andika permission uniambie app kama hiyo kwanini imetaka acces kwenye
location
microphone
contacts n.k na kama u.ekuta hizo features zipo enabled jiulize wamekurekodi mangapi mpaka sasa bila wewe kujua
Hiyo app ipo ila siitumii as a default browser mkuu
 
Ndio maana Putin alisema barua zote za ikulu ziandikwe kwa typewriters za zamani

Mitandao haipo tu kujua unaangalia nini bali ni kwa ajili ya takwimu,data na kibiashara zaidi.
Wanajua unapenda kuvaa aina gani za nguo, unapendelea chakula gani na hizo data zako huuzwa kwenye makampuni na masoko makubwa
Usishangae ukaona kwenye simu yako matangazo ya biashara kwa kitu ulichoangalia juzi
Nakuabiliana na wewe. Na wakati mwingine data hizo zinanunuliwa na watu ambao wanazitumia kwa mambo ya siasa
 
Hiyo app ipo ila siitumii as a default browser mkuu
huitumii ila ume grant access kwenye mambo niliyoyataja hapo juu na huja restrict background process na app imekuja na simu hujui nyuma ya pazia inafanya mambo gani. wakati wewe upo bize na firefox yenyewe ipo bize na ya kwake chini kwa chini
 
Huko kuwa bize chini kwa chini ni kupi ambako matumizi yake haitumiwi na mimi
 
Sema Wana uwezo wa kujua vitu vingi juu yako hasa unapokua connected to network>satelite>internet, na wanafanya hvyo wakitaka/lazimika, sasa wewe mwenzangu na mimi mbeba maparachich huku ushirombo wakufuatilie ili?
BTW not to that extent mzee, google wakujue zaid ya mama yako? Bora hata ungesema unapokua mafichoni google ni rahisi kukupata zaid ya mama yako through tecnology na mama through her mind anaweza jua n kwa nini upo mafichoni, usilinganishe teknology na Mind, ni vitu viwili tofauti sana, mind itakuelewa, tecnology itafanya.
NO mind, NO technology, and technology without mind in control its USELESS.
Simu unayotumia hapo inafanya mambo ambayo wewe huyawez hata kdg lakn still haijijui, wewe ndio unaijua.
Hata hio google yenyewe haijijui ila waendeshaji ndio wanaijua
 
Sema Wana uwezo wa kujua vitu vingi juu yako hasa unapokua connected to network>satelite>internet, wanafanya hvyo wakitaka, sasa wewe mwenzangu na mimi mbeba maparachich huku ushirombo wakufuatilie ili?
BTW not to that extent mzee, google wakujue zaid ya mama yako? Bora hata ungesema unapokua mafichoni google ni rahisi kukupata zaid ya mama yako, usilinganishe teknology na Mind, ni vitu viwili tofauti sana, mind itakuelewa, tecnology itafanya.

Exactly...agiza soda hapo nalipia
 
Huko kuwa bize chini kwa chini ni kupi ambako matumizi yake haitumiwi na mimi
Hivi kwa mfano kwa nini unatumia notification message ya what's app inapoingia. Ni kwa sababu umeruhusu background processing. Yaani ni mambo ambayo yanafanyika kwenye simu bila utashi wako
 
bkaza naomba niishie hapa. kwa maelezo zaidi kajisomee backdoor kwenye apps na application s mbali mbali utajua namaanisha nini
bye

Wooooiiii

Google hawanijui zaidi ya mama yangu... Over

Bye
 
Back
Top Bottom