Jihadhari! Google wanakujua kuliko mama yako

Hivi kwa mfano kwa nini unatumia notification message ya what's app inapoingia. Ni kwa sababu umeruhusu background processing. Yaani ni mambo ambayo yanafanyika kwenye simu bila utashi wako
hizo notification zote nimeziblock sababu zinadisturb sana..nikifungua whatsapp tu ndio message zinaingia na sio kwa pop up notification
 
Si ajabu ukiulizwa leo hii nani anayekufahamu zaidi. Jibu linaweza kuwa mama yako au mpenzi wako.

Sasa kwa taarifa yako kama ulikuwa hujui, Google wanakujua zaidi kuliko mtu yeyote mwingine. Google wanajua kuanzia kuamka kwako, kulala kwako, mazungumzo yako, sehemu ulipo sahihi na hata ukitoka hapo watajua. Google wanajua karibu kila kitu kuhusu wewe. Wanajua unachofanya kwenye mtandao. Wanajua kuanzia muda unaotumia kuangalia porn, muda unaotumia kutazama video YouTube, ugomvi wako na mkeo. Sijui niseme ambacho Google hawajui kuhusu. Nafikiri hakuna.

Hatua hiyo ya kampuni ya Google kuhifadhi taarifa za siri za wateja imesababisha CEO wa Google kuitwa na kuhojiwa na Congress ya Marekani. Tuhuma kama hizo zimeikabili kampuni ya Facebook pia.

Kwahiyo hapo ulipo Google wanakucheki wanachekaa! Ni muhimu kuchukua tahadhari kuzima data, location, WIFI, BLUETOOTH unapokuwa sirini!

Tazama kibano alicho pewa CEO wa Google kutoka kwa Congress
Kwa kifupi wanamjua hata jiwe, kuanzia michepuko mpaka madili yake... Siku marekan akiamua hapatakalika hapa tanzania...
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Ila hawa jamaa wajirekebishe, masuala unagoogle kitu yanaanza maneno ya ajabu hatutaki.

Mfano unataka kugoogle neno kutohoa , ukianza kutype kuto .... utaona maneno yanayokuja hapo halafu mbaya zaidi umekaa na mtoto.
Huo ni ujinga wako mwenyewe google hawahusiki.
 
bkaza naomba niishie hapa. kwa maelezo zaidi kajisomee backdoor kwenye apps na application s mbali mbali utajua namaanisha nini
bye
Mama yako hajui muda gani unafanya kazi, lakini Google wanajua
 
Mimi sio mhalifu wala mwanasiasa, nijikinge kwa lipi sasa, kama wanadukua taarifa zangu acha wadukue tu maana kama ni matangazo ya bidhaa mimi ndio nayapenda maana yanarahisisha utafutaji wa similar products. Ukweli usemwe no matter whatever they retrive from my devices, vitabaki kwenye maroboti yao tu unless mtu awe na shauku nawe. Dunia ina watumiaji wa google wengi tu, eti wanichunguze mimi ni nani. Tuache uoga na tutumie techs kwa raha zetu, hata google iweke human force kwa kila mtumiaji still sitaogopa chochote, C.E.O wa google na wafanyakazi wote bado watahitaji kazi ya ziada kutambua uwepo wangu duniani na hata kwenye server zao.
 
Back
Top Bottom