Papa Mobimba
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 1,153
- 1,359
- Thread starter
- #101
🤣🤣🤣🤣najali afya yangu hvy nafanya mixer products
🤣🤣🤣🤣najali afya yangu hvy nafanya mixer products
google wananijua vizuri lakini wameshindwa kujua muda wangu sahihi wa kupiga nyeto.
Nimekupata mkuu 😆😆😆😆Ila hawa jamaa wajirekebishe, masuala unagoogle kitu yanaanza maneno ya ajabu hatutaki.
Mfano unataka kugoogle neno kutohoa , ukianza kutype kuto .... utaona maneno yanayokuja hapo halafu mbaya zaidi umekaa na mtoto.
Mi simo mkuu 😆😆😆😆Kwa kifupi wanamjua hata jiwe, kuanzia michepuko mpaka madili yake... Siku marekan akiamua hapatakalika hapa tanzania...