Jihadhari! Google wanakujua kuliko mama yako

Jihadhari! Google wanakujua kuliko mama yako

Mimi sio mhalifu wala mwanasiasa, nijikinge kwa lipi sasa, kama wanadukua taarifa zangu acha wadukue tu maana kama ni matangazo ya bidhaa mimi ndio nayapenda maana yanarahisisha utafutaji wa similar products. Ukweli usemwe no matter whatever they retrive from my devices, vitabaki kwenye maroboti yao tu unless mtu awe na shauku nawe. Dunia ina watumiaji wa google wengi tu, eti wanichunguze mimi ni nani. Tuache uoga na tutumie techs kwa raha zetu, hata google iweke human force kwa kila mtumiaji still sitaogopa chochote, C.E.O wa google na wafanyakazi wote bado watahitaji kazi ya ziada kutambua uwepo wangu duniani na hata kwenye server zao.
Leo unajiona ni mtoto wa tembo huna pembe, kesho utakuwa tembo mzima majangili watakapata mapembe
 
Tutumie hii DuckDuckGo — Privacy, simplified. haitrack chochote wala kutunza taarifa zetu. Mi naitumia muda wote Pia ili uachane nayo kabisa (Usitumie gmail, googlephotos, android, google hangout, google drive,google search, google calendar, google maps, google analytics n.k.) fuata ushauri huu
 
Nakuabiliana na wewe. Na wakati mwingine data hizo zinanunuliwa na watu ambao wanazitumia kwa mambo ya siasa
Yaani ukichunguza haya unaweza kuchanganyikiwa
Kuna smart fridge, smartphones, smart tv, smart watch
Hii naiogopa zaidi ni smart tv ambayo inakuona na kukusikiliza unachoongea hahaha
Tupo kwenye zama za kutisha sana kwanza wanasiasa ndio siri zao nje nje, anachoongea kwa siri, huko wanamchora tu na wanapanga mikakati.
Unaalika mzungu anaacha kinasa sauti kidogo kama punje kwenye meza.
Hapo wanakuchora tu hahaha
 
Nafikiri sehemu kama ikulu kuna watu wa IT ambao wanapitia vitu kama hivyo
 
Nchi kama Russia nafikiri wana system zao
Urusi hawa wanakaribia kuwapita wamarekani wana antivirus zao kali kama Kaspersky http://www.kaspersky.com/ kuna browser ya chrome mchanganyiko na opera ya Scandinavia inaitwa Yandex https://browser.yandex.com/ wana mfumo wa malipo ya kadi za Mir http://mironline.ru/ ili kupambana na Visa na Mastercard, wana e-bay yao inaitwa Molotok Интернет-магазин MY-MOLOTOK.RU - Motorola star tac, Ericsson T28, Nokia 3310 - и другие ретро-сотовые телефоны.. Baadhi ni hizo.
 
Back
Top Bottom