Una wazo zuri ila naona unaanza mbali sana na JavaScript ambayo inabadilisha Page Behavior lakini iyo page au webpage ni ipi na inatengenezwaje? Nadhani ungeanza na hilo ingekuwa fresh
 
Huna hata mwezi JF. Nomba account id yako ya github kabla sijalipia nijirizishe
Kama unaweza kuingia GitHub na kuelewa Nini kinachoendelea kwa kuangalia project za watu sidhani Kama hi inakufaa. Karibu kwa ushirikiano kwa project zingine wakati mwingine.
 
Mkuu Kuna uwezekano nimecheza Kombolela na wazee wako.
Dogo anataka afundishe kuanzia shule ya msingi mpaka phd holders na ka certificate kake kenye first class 😂 namkumbusha tuu alipe kodi tujenge zetu barabara
 
Like nikishaandika izo code bila google itakuaje?
Kiuchumi itanisaidiaje?
Nadhani hapa kama binadamu ndio tumetoka kwenye reli, hatujifunzi kitu sababu tuelewe au kuongeza uelewa bali tunajifunza ili tunufaike kiuchumi, nadhani kina Farraday, Newton, Darwin wangekuwa na fikra hizo tusingepiga hatua kama specie..., au ambao wapo well off kiuchumi wasingehangaika kuongeza ujuzi....

Wewe umeshafanikiwa kufanya nini kikubwa kupitia taaluma yako,
Sio nafundishwa na mtu alikua ndio last born wa darasa kwenye matokeo, tuweke wazi
Kwa logic yako waalimu wote wamefanikiwa kuliko wanafunzi wao au waalimu ndio wangekuwa wanaongoza sekta zote sababu wamefanikiwa kuliko waliowafundisha...

Ushauri ni kwamba usiangalie ni nani anakufundisha au amefauli vipi bali kama anachokufundisha unakihitaji na huwezi kukipata pengine kwa ubora zaidi
 
Nimesoma comment yako na wengine wanaotoa maoni yao kupingana na kile nilichoandika nikahuzunika kuona wote mmeelewa vibaya na hamjataka kupata hata nafasi ya kujirekebisha mkaanza kupinga, lakini kwakuwa mmetoa maoni yenu basi ngoja niwaambie nilichotaka kufahamishwa na mtoa mada,
1)kiwango chake cha elimu
2)umuhimu wa program yake kwa kuzingatia maendeleo ya sayansi na teknolojia
3)yeye kama mkufunzi ameshafanya nini cha maana kupitia kile anachohitaji kufundisha?

Cha ajabu mtoa mada wengine mmeacha muktadha wa mchango wangu na kuzingatia taarifa za ziada zilizoambatana na ujumbe, ambazo kimsingi nililenga kuweka wazi hofu yangu ambayo kwa kuwa simfahamu mleta mada basi hakuna mwenye mamlaka ya kunizuia kuwazia hivyo.

Kama bado unaona nnamuatack mleta mada basi ongeza na mwanga kabisa
 
Sipingani na wewe kujua hizo taarifa..., ni muhimu mtu kufanya due dilligence kabla ya kuinvest (hata kama sio pesa muda nao una gharama....)

Point yangu ilikuwa ni kwamba hata kama angekuwa hana elimu ya darasani ila anajua topic husika kutokana na utundu wake, vilevile anaweza akawa hajawahi kupata hata senti kwa knowledge yake ila wewe akakufundisha na ukafanikiwa zaidi yake. Kwahio maswali yako yana tija wewe kama mlaji (customer is always right) lakini haimaanishi kwa yeye kutokuwa na vigezo hivyo akawa hana something to offer....
 
Umenena vyema mkuu, tatizo letu wabongo wengi unatuponza ujuaji, binafsi napenda Sana kufundisha japo sio mwalimu by pro. Hata nilipokuwa shule( o level & A level) Kuna watu walikuwa chini yangu kwa performance lakini baada ya kuwafundisha wengine walinizidi kabisa na Kuna mda niliwafata kupata concept kwao, kufundisha sio kujua Kila kitu. Wengi wetu tunajenga chuki mtu anapokuzidi Jambo flan. Ndio tatizo hilo.
Sipingani na wewe mimi mwenyewe advance nilifika kapa ata pindi la tuition sikugusa ila ila nikawa napigiwa topc na wadau wa darasani sasa mimi nilikuwa nafata wale mtu kaiva topic moja anajikubali swali alichomoki naenda kwake , matokeo yake mimi ndiyo nikaja kuwa bora tena kiraka wa topic zote kwakua nilifundishwa na watu tofauti walioiva mimi nikafanya hybrid.Na matokeo kuja nilipata one peke angu darasa zima PCB😂😂
 
Sipingani na wewe kujua hizo taarifa..., ni muhimu mtu kufanya due dilligence kabla ya kuinvest (hata kama sio pesa muda nao una gharama....)

Point yangu ilikuwa ni kwamba hata kama angekuwa hana elimu ya darasani ila anajua topic husika kutokana na utundu wake, vilevile anaweza akawa hajawahi kupata hata senti kwa knowledge yake ila wewe akakufundisha na ukafanikiwa zaidi yake. Kwahio maswali yako yana tija wewe kama mlaji (customer is always right) lakini haimaanishi kwa yeye kutokuwa na vigezo hivyo akawa hana something to offer....
Asante kwa msaada mkuu, nazani anahitaji mifano hai, aangalie walimu wake tangu shule ya msingi wengi ni ungaunga mwana. Na ajiulize hata wakati anajiunga form one aliwakagua walimu kujua kama wana uwezo? Binafsi huyu mtu maisha yameshamvuruga akili anaona kila mtu ni chanzo. yaani huyu kacnia unaweza ukamshika mguu akalalamika unamuumiza kichwa.
 
Like nikishaandika izo code bila google itakuaje?
Kiuchumi itanisaidiaje?
Wewe umeshafanikiwa kufanya nini kikubwa kupitia taaluma yako,
Sio nafundishwa na mtu alikua ndio last born wa darasa kwenye matokeo, tuweke wazi
😆😆😆😆😆wee mchokozi
 
Mkuu mimi sio chanzi cha ugumu wa maisha yako, pole sana.
 
Back
Top Bottom