Jifunze njia rahisi ya ku-root simu

Jifunze njia rahisi ya ku-root simu

Naomba kutoa tahadhari kwa
anae tarajia kuroot simu yake kwa
kutumia Framaroot.
1--> Hakikisha simu yako ni
original mfano kama ni tecno basi
iwe tecno original sio copy,na
nyinginezo zisiwe copy.
2-- Hakikisha simu yako ipo ktk
orodha ya simu zinazo weza kuwa
rooted na hiyo framaroot kwa
kutembelea site yao
Framaroot - rooting your device for one click! Free download framaroot.
3- kama umejaribu mara moja
ikagoma,, ushauri wangu usijaribu
tena.
Mimi nimmoja wa wahanga
kutokana na uzi huu
jinsi ya kuroot simu kwa framaroot
Nilifanya hivyo kwa huawei G610,
kilichotokea baada ya kumaliza
hatua zote simu imekuwa ni
kuzima na kuwaka tu.
Hapa najipanga kwa gharama za
ku flash if possible.
asente mkuu kwa tahathari kabla ya hasara
 
Huu uzi sitausahau na kila nikiuona moyo unanipasuka vibaya niliuwa Huawei yangu G610 na ilikuwa ina mwez mmoja tu, baada ya kumaliza ku root simu ikawa ina ji restart tu.
Mafundi wa kuflash wakaizimisha jumla hadi leo ipo ndani tu.
dah pole mkuu ulifata maelekezo vizuri?
 
Jaman msaada wa ku unlock sim hii
61e181f864b7a376db8ea0fc85e2aa04.jpg
 
JAMAN NISAIDIE NA MM KU-ROOT SIM YANGU

NIMEJARBU KUTUMIA KINGROOT IMEGOMA

NIKAJARIB FRAMAROOK KAMA ULIVYOELEKEZA HAPO NAPO IMEGOMA

NIME-INSTALL HYO FRAMA ROOT NIKAFUNGUA Lakin niki-click option ya ku- install super su inakataa

NATUMIA TECNO Y3+
 
Back
Top Bottom