Jifunze njia rahisi ya ku-root simu

Jifunze njia rahisi ya ku-root simu

Tecno phantom A+ baada ya ku instal inaleta hyo kitu, nkibonyeza ok! Inafunga

Ata mm nimejaribu nimefikia hapo hapo, kwa wajuaji wa haya mambo msaada tutani natumia samsung galaxy s 5(mchina)
 
Ata mm nimejaribu nimefikia hapo hapo, kwa wajuaji wa haya mambo msaada tutani natumia samsung galaxy s 5(mchina)

kama ni tecno au mchina toa betri washa cmu upya then jarib exploit ya boromir na nimeupdate download link jaribu kudownload upya
 
nimeweza kuiroot tecno h5 from the update uliyoweka,thanks alot.sasa nawekaje custom rom??
 
honestly hiyo framaroot mimi imegoma, kwanza inaleta option moja tu ya Gandalf na yenyewe inasema try another exploit if available. Nmejaribu kutumia njia ya Poot na Ministro II pia imegoma. Sasa nataka kuroot kwa kutumia pc....kama kuna mwenye alternative kabla ya kuiendea pc anisaidie please. Device ni Tecno P3
 
Mkuu mm imeniletea hvyo?
 

Attachments

  • 1409638729456.jpg
    1409638729456.jpg
    9.2 KB · Views: 359
jamn mi nimefikia hapa na nime root kwenye hyo ya chini sasa nafanyaje baad ya hapo.
 

Attachments

  • 1409647934774.jpg
    1409647934774.jpg
    35.7 KB · Views: 336
Bona inagoma mkuu,cm yang ni LG-E405,nimedownload nimeinsult ikaleta insult superus alafu ikaleta gandalf,hapo nikijarbu inaandika failed,nipe mwongoz wadau niingie nami
 
Subiri nami ni-root my phone. Nimeshaelewa faida zake..
 
Naomba kutoa tahadhari kwa
anae tarajia kuroot simu yake kwa
kutumia Framaroot.
1--> Hakikisha simu yako ni
original mfano kama ni tecno basi
iwe tecno original sio copy,na
nyinginezo zisiwe copy.
2-- Hakikisha simu yako ipo ktk
orodha ya simu zinazo weza kuwa
rooted na hiyo framaroot kwa
kutembelea site yao
Framaroot - rooting your device for one click! Free download framaroot.
3- kama umejaribu mara moja
ikagoma,, ushauri wangu usijaribu
tena.
Mimi nimmoja wa wahanga
kutokana na uzi huu
jinsi ya kuroot simu kwa framaroot
Nilifanya hivyo kwa huawei G610,
kilichotokea baada ya kumaliza
hatua zote simu imekuwa ni
kuzima na kuwaka tu.
Hapa najipanga kwa gharama za
ku flash if possible.
 
jamn mi nimefikia hapa na nime root kwenye hyo ya chini sasa nafanyaje baad ya hapo.

MKUU chagua exploit moja wapo hapo chini.
ukishaselect unasubilia yenyewe itafanya yake kisha itakuletea SMS nyingine kama imekubali au imeshindwa
 
Wana jamii forums,

Nimekuwa nikiliona hili neno 'kuroot' simu mara kwa mara humu jamvini na hadi hivi sasa sijajua maana yake.

Swali.
1. Kuroot simu maana yake ni nini?

2. Faida na hasara za kuroot simu ni zipi?
Mfano. Simu yangu ni Alcatel Onetouch TCL S500 Dual

Naomba msaada wa kimaelezo.
 
ka simu yako yazima na kuwaka issue hapo ni kuweka rom nyingine
 
me niliharibu yangu Huawei Y300 baada ya ku root nikatafuta rom inayofaa nikaiingizza saahii inapiga mzigo na rom isiyo ya huawei.ni issue ndogo tu.
 
me niliharibu yangu Huawei Y300 baada ya ku root nikatafuta rom inayofaa nikaiingizza saahii inapiga mzigo na rom isiyo ya huawei.ni issue ndogo tu.

ok mkuu ila unajua kila jambo uwe na ujuzi nalo ndio utajua kama tatizo ni kubwa au dogo. Hapo kwenye kuweka Rom ndio darasa halija niingia.
 
sina hata hamu na kuroot, nshajaribu kuroot sim kwa software sijui inaitwa vroot mwisho wa siku sim yangu sasa hivi ni kimeo, haisomi usb tena na inajizima zima. kwa mm sitaki root tenaaaaaaaa
 
Wana jamii forums,

Nimekuwa nikiliona hili neno 'kuroot' simu mara kwa mara humu jamvini na hadi hivi sasa sijajua maana yake.

Swali.
1. Kuroot simu maana yake ni nini?

2. Faida na hasara za kuroot simu ni zipi?
Mfano. Simu yangu ni Alcatel Onetouch TCL S500 Dual

Naomba msaada wa kimaelezo.


http://en.wikipedia.org/wiki/Rooting_%28Android_OS%29

Rooting is the process of allowing users of smartphones, tablets, and other devices running the Android mobile operating system to attain privileged control (known as "root access") within Android's sub-system.

Rooting is often performed with the goal of overcoming limitations that carriers and hardware manufacturers put on some devices, resulting in the ability to alter or replace system applications and settings, run specialized apps that require administrator-level permissions, or perform other operations that are otherwise inaccessible to a normal Android user. On Android, rooting can also facilitate the complete removal and replacement of the device's operating system, usually with a more recent release of its current operating system..............
 
Mbn m nafanya hizo process zote vizur lkn nkzma qf nkawasha,,apps znagoma kufutika nyngn nkdownload znakataa et znahtaj rooting!!!#tecno H5
 
Back
Top Bottom