mkuu mimi nimeroot tecno p5 sasa hv in only 1 sec,angalia page#1 nimeelekeza jinsi ya kufanya na nakupa 100% lazma ikubali kiulainiiiMbona mi TECNO P5 imegoma imeniandikia 'your device seems not vulnerable to exploit included in frameroot' msaada tafadhali
mkuu bofya hapa kupakua framaroot za version tofauti ila anza na v6.1.0 utaselect super SU then utaclick boromir button watakwambia kuwa tayar then reboot it, Over. Hvy ndio nlivyofanya mm,ikikataa jaribu version nyingine :behindsofa:mkuu bofya hapa kupakua framaroot za version tofauti ila anza na v6.1.0 utaselect super SU then utaclick boromir button watakwambia kuwa tayar then reboot it, Over. Hvy ndio nlivyofanya mm,ikikataa jaribu version nyingine :behindsofa:
mkuu mimi nimeroot tecno p5 sasa hv in only 1 sec,angalia page#1 nimeelekeza jinsi ya kufanya na nakupa 100% lazma ikubali kiulainiii
nimechanganya mkuu ni v1.6.0........
Mkuu kwenye hiyo link hakuna v6.1.0
versions zote zinaanza na 1.....na zipo mpaka 1.9.3
katika hizo zote nasikitika hakuna ilokubali kwenye HUAWEI Y 530
sasa nafanyaje mkuu?
poa safi sana mkuudah shukrani sana mkuu imekubali aisee
mm nimejaribu naona inagoma natumia HUAWEI ascend y300 .
kwenye kuchagua exploit naletewa 2
1 aragorn na
2 gandalf.
hapo nikichagua yoyote inanambia exploit failed .
so nahishia hapo. nahisi kwenye hii simu haikubali
boss natumia tecno h5 na framaroot inagoma
angalieni pg #1 nimeelekeza vya kufanya kwa wadau wa tecnoyangu tecno m3 imenigomea bana... nifanyeje wadau.?
Natumia whatsapp 2 sasa hv yan Og whatsapp na official whatsap sa hiv nataka kuongeza ya 3 amby inahitaji root acces. Dah kwel Android phone without root access is like an African...................