Wana jf mwenye ufahamu juu ya paypal acount zinauwezo wa kupokea pesa hapa inchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana kwa paypalWana jf mwenye ufahamu juu ya paypal acount zinauwezo wa kupokea pesa hapa inchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilinunua bidhaa eBay muuzaji kashindwa kutuma hiyo items na ame refund hiyo kwa PayPal ambao wanapaswa wailejeshe kwangu kama haiwezi hapo inakuwa jeHapana kwa paypal
Tumia SKRILL,
Paypal watarejesha fedha kwenye chanzo card/ benki husika.refund hiyo kwa PayPal ambao wanapaswa wailejeshe kwangu kama haiwezi hapo inakuwa je
Paypal watarejesha fedha kwenye chanzo card/ benki husika.
Huwezi kupokea fedha iwapo ndugu au jamaa aliye nje ya nchi anahitaji akutumie fedha direct, hili ndio haliwezekani iwapo tu
- Account yako ulifungulia Tz
- Ila inawezekana iwapo tu
{a} Account ya paypal ulifungua ukiwa nje ya nchi
{b} Ulifanya attachment ya vielelezo husika pindi walipo vihitaji
Ndio sababu hapo juu nikasisitiza iwapo lengo ni kupokea fedha toka nje ya nchi basi tumia
- Skrill
- Worldremit