Jifunze njia nzuri ya kufanya manunuzi kwenye mtandao (Ebay, Amazon, Bestbuy)

refund hiyo kwa PayPal ambao wanapaswa wailejeshe kwangu kama haiwezi hapo inakuwa je
Paypal watarejesha fedha kwenye chanzo card/ benki husika.

Huwezi kupokea fedha iwapo ndugu au jamaa aliye nje ya nchi anahitaji akutumie fedha direct, hili ndio haliwezekani iwapo tu
- Account yako ulifungulia Tz
- Ila inawezekana iwapo tu
{a} Account ya paypal ulifungua ukiwa nje ya nchi
{b} Ulifanya attachment ya vielelezo husika pindi walipo vihitaji

Ndio sababu hapo juu nikasisitiza iwapo lengo ni kupokea fedha toka nje ya nchi basi tumia
- Skrill
- Worldremit
 
Asante sana kwa ufafanuzi wako Mungu akubaliki najifunza mengi kupitia wewe
Paypal watarejesha fedha kwenye chanzo card/ benki husika.

Huwezi kupokea fedha iwapo ndugu au jamaa aliye nje ya nchi anahitaji akutumie fedha direct, hili ndio haliwezekani iwapo tu
- Account yako ulifungulia Tz
- Ila inawezekana iwapo tu
{a} Account ya paypal ulifungua ukiwa nje ya nchi
{b} Ulifanya attachment ya vielelezo husika pindi walipo vihitaji

Ndio sababu hapo juu nikasisitiza iwapo lengo ni kupokea fedha toka nje ya nchi basi tumia
- Skrill
- Worldremit

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashukuru kwa hints hizi za kununua vitu mtandaoni.

Mimi nataka kununua Gari kutoka UK ila kwa sasa sijapata mtandao wa uhakika wa kununua gari. Namora kwa yeyote mwenye uzoefu wa kununua gari UK anijuze mitandao ya uhakika na utumaji wa mpunga unakuwaje..!

Natanguliza shukrani..!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom