Jifunze kusubiri kabla ya ndoa

......kwa nini ukubali uzinzi wakati umepewa ufahamu wa kukubali mema na
mabaya

uzinzi kama tendo ni jema, linafurahisha na kuburudisha, linondoa msongo wa mawazo na kujenga hali ya kujiamini. ni nyenzo kubwa zaidi ya zote ya kujenga ujamaa katika jamii (socialization) na kiungo cha msingi cha mahusiano ya kindoa ama yanayofanana na hayo yenye kudumu muda mrefu.

ni dawa kwa wanawake na wanaume wenye shida katika saikolojia zao, ukitaka kuahirisha kirahisi kujinyonga, fanya tendo la ndoa hata na mtu asiye chaguo lako kitanzi kikiwa mbele yako, utaahirisha!

ni wazi kwa msingi huu tendo hili limepunguza sana visa vya kujiua. amini usiamini. kutokana na uwezo huu wa kuchagua jema na baya mwanadamu ameona ngono ni njema na ndiye kiumbe miongoi ma viumbe wote wa Mwenyezi Mungu amnayefanya ngono mara nyingi zaidi, akiwa na sababu mbalimbali na malengo mbalimbali. vumbe wengine hufanya bila lengo (japo wanazaana kwa tendo hilo) bali kwa sababu ya ashiki za madume na misimu ya majike.

.........hakuna mapenzi mazuri kama mkiwa ndani ya ndoa.............

kama ndani ya ndoa kungekuwa na mapenzi hata mabaya (sembuse mazuri) nani angekuwa na nyumba nogo leo?

hata hiyo naunga mkono wito wa uchaji wa Mungu
 
Yawezekana na wewe upo kwenye hiyo list...wapo watu wengi sana
ambao wanaanza mapenzi kabla ya ndoa..na hii imekuwa system ya kila sehemu....hii tukubali tukatae hii ni dhambi..haurusiwi kuchukua mapungufu ya mwenzio kama alifanya kabla ya ndoa basi na wewe unaamua kuanza kufanya kama yeye...kila moja atabeba dhambi zake...kwa nini ukubali uzinzi wakati umepewa ufahamu wa kukubali mema na mabaya....so far kama unaweza ukona mchumba wako jitahidi uvumilie mpaka muoane hakuna mapenzi mazuri kama mkiwa ndani ya ndoa...pamoja na kwamba ndoa imefanywa kama biashara.....,bado tunawajibika sisi wakubwa walio bado wajitambue kwamba hawaruhusiwi kuanza mapenzi ya ndoa...mwenye maskio na asikie mwenye macho na aone....
MPENDE MKEO MTARAJIWA;USIFANYE KABLA YA NDOA

Ile kitu tamu bana wacha tuianze mapema loh
 
Hizi ndo gharama za kusubili mm naona wanawake wa Kiafrika ni wepesi sana kubadili misimamo yao
una hakika gani kuwa alikuwa hajala tunda? kubadili msimamo ni tabia mbaya tu na haitegemei kama jamaa alikuwa amesubiri kula au la
 
Back
Top Bottom