jifunze kusearch topic za jamiiforums na tips nyengine za kusearch

jifunze kusearch topic za jamiiforums na tips nyengine za kusearch

Jamani izo rangi kwenye text mnawekaje au nd'o xhtml language yenyewe?
 
Jamani izo rangi kwenye text mnawekaje au nd'o xhtml language yenyewe?

sio html mkuu ni BB codes angalia kwenye sticky topics mwanzo wa jukwaa hili kuna topic inaitwa "for Mobile user" inaelezea kila kitu
 
Sijajua kama hii topic ipo humu au haipo. Kama ipo mod ataiunganisha.

Watu wengi humu jf wanakuja kuuliza vitu ambavyo vimeshakua posted mara kibao na watu wanakua bored kujibu vitu hivyo hivyo kila siku. Mfano topic za idm humu jf zipo mamia ya topic wakati ilikua thread moja tu inatosha.

Leo ntawaonesha namna ya kusearch forum kubwa kama hii na tips mbali mbali za kutumia google ili kuweza kupata topic unayoitafuta.

Mkuu Chief Mkwawa,
Naomba nisaidie namna ya Ku-reply with many quotes, hii bado sijajua wanafanyaje!!
 
Mkuu Chief Mkwawa,
Naomba nisaidie namna ya Ku-reply with many quotes, hii bado sijajua wanafanyaje!!

WoAUix7huSB3SZu8NCIB3sA1UEbA3YkX_S6ZybJo-Mv1uqhtESjAxBwlG56UIOkNV17bg4lyELvUMi1l0Aurk7mhBp3VGNIX-PIyxL0mQWbJx_kPPLbbigfLTg


Click No 1 ktk post zote unazotaka kuzi Quote. Then click no 2 ktk post yoyote.
 
thread imetulia hii......ngoja tumuombe mkuu Invisible aiweke sticky......tumechoka kusoma thread za kurudiwarudiwa.......
 
Last edited by a moderator:
Mhariri asiyeonekana(Invisible),tafadhali tuwekee hii thread pale ukurasa wa mbele(sticky).
 
Nice lesson Chief Mkwawa, the instruction is self explanatory. Thanks a lot, umetusaidia sana sisi walemavu wa technolojia.
 
Nyongeza katika Google Advanced Search

Hizi ni Baadhi Google Operators ambazo ni muhimu Kwa wale ambao Hawazifahamu

inurl
hii inakuwezesha kusearch sites ambayo ktk url kuna keyword unayotaka. mfano nataka kusearch site ambazo ktk url kuna neno tanzania unandika inurl:tanzania Mifano mingine inurl:"tanzania one" na allinurl:tanzania one
intitle
Hii inasearch tovuti ambazo ktk title kuna keyword unayotaka mifano intitle:tanzania, intitle:"Latest news" , allintitle:habari mpya

intext

Hii inasearch site zote zenye keyword unayotaka katika text mfano: jamii forums intext:vurugu au allintext:jamii forums vurugu

filetype

Hii Inakuwezesha kuamua google ikuletee aina zipi za files mfano filetype😛df ewura na filetype😛pt site:ac.tz

cache

Hii inakuonyesha latest page ambayo google ili cache mfano cache:jamiiforums.com . Hii hutoa msaada sana pale page inapokuwa haipatikani au imefutwa na una shida nayo.
OR na AND
Hapa natoa mfano tu
intext:tanzania AND inurl:habari hapa utapata result ambayo ktk text kuna neno tanzania na ktk url kuna neno habari

intext:tanzania OR inurl:habari hapa utapata results zote za case ya kwanza, na pia utapata baadhi ya results ambazo ktk text kuna neno tanzania na ktk url hamna neno habari viceversa is true

'*' operator
Hii inatumika ku ashiria kuna maneno yanamisi wakati unasearch phrase. Kwa mfano umesikia habari inahusu ghorofa na jijini lakini huna uhakiaka unaweza search "ghorofa * jijini *" * ina indicate kuna neno/maneno yanamisi.

Filtering Results based on Time
Hapa utaweza kufilter results kuendana na muda, Hii ni muhimu sana pale unapotaka results ambazo zinategemea muda. Kwa mfano kuna Habari mpya unataka uisearch google ili uweze kuipata lazima uweke chujio la muda kwa mfano saa 1 lililopita.
QaBHsZYS7wkFNypSHW5XyQ_V_hAznFh5pWkMJ-jEwEBW1LchPaxOMOHuqqOWq7GwP6wTP95fSmIeSAi8viAxDYLSh-leh_x1XGMGFEeoYj0YbSMF_EgSiTYv6w


Sasa tuone baadhi ya matumizi ya hizo tips


1. Searching katika domain za aina flani
Mfano unataka kusearch kitu na unajua kinapatika ktk tovuti za serikali ambazo zinaishia na go.tz then una type site:go.tz yourkeyword km site:go.tz nafasi za kazi mifano mingine site:co.tz habari , Unaweza edit kuendana na mahitaji yako.
Pia kumbuka haka ka trick unaweza kukatumia pia ktk image search


2.Searching Folder Index

Folder index ni page ambazo zina list files zilizopo katika folder husika kutoka ktk server. Hizi page huwa zina title inayo anza na ‘index of' na ktk page lazima kuwe na text ‘parent directory' sasa tuone mifano ya jinsi operator zinavyotumika kupata hizo folder index
movies direct links
intitle:"index of" intext:"parent directory" inurl:movies
intitle:"index of" intext:"parent directory" inurl:movies -intitle😛arent
intitle:"index of" inurl:2012 intext😀VDrip intext:avi OR intext:mkv OR intext:mp4 -intext:results
intitle:"index of" inurl:2012 intext:brrip
intitle:"index of" inurl:2012 intext:brrip -french -results nakadhalika
softwares direct links
software ni ngumu kidogo kuzipata kwa njia hii
intitle:"index of" intext:"parent directory" softwarename mfano
intitle:"index of" "cyberlink Powerdirector*"
pia unaweza specify kama tayari una site unayoifahamu mfano
site:dl.download.ir/Download acrobat

Mifano Mingine
intitle:"index of" site:go.tz
intitle:"index of" site:co.tz

Naona tuishie hapo kwa leo
Note:
Tumia Google USA yani www.google.com ili kupata Feature zote.

Nenda Hapa ku download hii post.
 
Dah gkiwango kamaliza kila kitu,ngoja mimi nihamie upande wa 1.converter na units,google yenyewe iko bulit in calculator
ukitaka unconvert unit yoyoyte ile kwenda kwenye unit nyingine basi wewe weka hiyo unit alfu kati weka in thn malizia na unit nyingine unayotaka uiconvert tu kwa mfano 18998m in km basi google watakuletea majibu in less than 30second ya hiyo kitu bila hata ya wewe kujua km 1=m ngapi
2.currency converto:the same method iliyotumika kwenye kuconvert unit basi na hapa ndiyo untumia hiyo hiyo kwa mfano unataka uconvert rupees 35000 kwenda kwenye tshs basi wewe unaandika tu 35,000 rs in tshs kama kawaida google inakultea majibu haraka katika current exchange rate za pesa
3.search by using image kwa mfano uko una picha lakini huna maelezo ya kutosha kuhusiana na hiyo picha basi google inaweza kukusaidia kukupa details na kutambua hiyo picha ilipigwa lini ni ya nani na inahusu nini hapa una chotakiwa kufanya ni kwenda kwenye web ya google(Google) then juu ingia sehemu imeandikwa images drag hiyo picha yako uliyoikusudia mpk juu ya search bar ya google sehemu palipoandikwa google images then automatic google itaupload hiyo picha na kukuletea maelezo kuhusiana na hiyo picha(hii inawezekana ktk browser za computer tu hasa chrome,safari na mozila,opera haikubali tablet na simu haikubali
.4.kujua muda wa mahali husika,unaweza kujua muda wa sehemeu yoyote ile duniani just andika tu local time in i.e dubai,london or dar es salaam then google watakultea muda wa sehemu hiyo husika au pia unaweza kutype time dar es salaam
kujua hizo and other search feature za google ingia kweny link hapa chini
Search Features
5
 
Sijajua kama hii topic ipo humu au haipo. Kama ipo mod ataiunganisha.

Watu wengi humu jf wanakuja kuuliza vitu ambavyo vimeshakua posted mara kibao na watu wanakua bored kujibu vitu hivyo hivyo kila siku. Mfano topic za idm humu jf zipo mamia ya topic wakati ilikua thread moja tu inatosha.

Leo ntawaonesha namna ya kusearch forum kubwa kama hii na tips mbali mbali za kutumia google ili kuweza kupata topic unayoitafuta.

jinsi ya kusearch topic jamiiforums kwa kutumia google
google wao wamerahisisha maisha kuna namna ya kusearch site moja tu ambayo ni.

site:jinalasite.com nenounalotaka kusearch

mfano tunasearch jamiiforums itakua hivi

site:jamiiforums.com idm

ukisearch kama hapo juu zitakuja topic zote zinazohusiana na idm kuanzia jamiiforums ianzishwe hadi leo hii. Hii itarahisisha maisha.

kutoa maana ya neno fulani usilolijua
sometime mtu anaweza kuongea neno fulani kwenye jukwaa na ukatamani kulijua, au kuna wale wengine wanaanzisha thread mpya kabisaa kwa kuuliza tu maana ya kitu fulani wakati tatizo kama hili lilikua linaweza kua solved na google just tumia njia hii.

define:neno lako

mfano

define:management

basi utaona google wanadefine management. Njia hii ni rahisi maana hutahitaji kuclick link definition itakuja kwenye result.

kutoa maneno usiyoyataka kwenye search result
mimi hua napenda sana kudownload kwenye file sharing website kama jumbofiles, mediafire, rapidshare........ Lakini hizi file sharing google amezigroup pamoja ukisearch moja zinakuja zote. Sometime unakuta unataka kusearch jumbofiles unaletewa result za mediafire hapa nitawaonyesha jinsi ya kuondoa maneno

nenoninalolitaka -nenonisilolitaka

mfano

jumbofiles -mediafire -rapidshare

hapo ina maana maneno yote ambayo yataanza na alama ya negative kwa nyuma hayatatokea kwenye result zako za google.

kusearch maneno exactly yale yale
google inaposearch hua inaangalia maneno yame appear? Hua haijali yamekaa exactly pamoja au yapo separate bora yapo google inakupa result. Hapa nitaonesha jinsi ya kutafuta maneno exactly.

''maneno yako''

mfano

''mama yangu anaumwa''

hapo utaona exactly neno mama yangu anaumwa linakuja.

very nice lakini bado inabidi watu tujitahidi kuweka tags tunapopost ili kurahisisha searching
 
CHIEF MKWAWA ahsante sana! hapa kuna thread nilikua natafuta manually kufika pg 20 ndio nmekutana na hii yako. thanks again. Nashauri iwekwe sticky @cc Moderator Invisible
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom