Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,229
- 44,240
Sijajua kama hii topic ipo humu au haipo. Kama ipo mod ataiunganisha.
Watu wengi humu jf wanakuja kuuliza vitu ambavyo vimeshakua posted mara kibao na watu wanakua bored kujibu vitu hivyo hivyo kila siku. Mfano topic za idm humu jf zipo mamia ya topic wakati ilikua thread moja tu inatosha.
Leo ntawaonesha namna ya kusearch forum kubwa kama hii na tips mbali mbali za kutumia google ili kuweza kupata topic unayoitafuta.
jinsi ya kusearch topic jamiiforums kwa kutumia google
google wao wamerahisisha maisha kuna namna ya kusearch site moja tu ambayo ni.
site:jinalasite.com nenounalotaka kusearch
mfano tunasearch jamiiforums itakua hivi
site:jamiiforums.com idm
ukisearch kama hapo juu zitakuja topic zote zinazohusiana na idm kuanzia jamiiforums ianzishwe hadi leo hii. Hii itarahisisha maisha.
kutoa maana ya neno fulani usilolijua
sometime mtu anaweza kuongea neno fulani kwenye jukwaa na ukatamani kulijua, au kuna wale wengine wanaanzisha thread mpya kabisaa kwa kuuliza tu maana ya kitu fulani wakati tatizo kama hili lilikua linaweza kua solved na google just tumia njia hii.
define:neno lako
mfano
define:management
basi utaona google wanadefine management. Njia hii ni rahisi maana hutahitaji kuclick link definition itakuja kwenye result.
kutoa maneno usiyoyataka kwenye search result
mimi hua napenda sana kudownload kwenye file sharing website kama jumbofiles, mediafire, rapidshare........ Lakini hizi file sharing google amezigroup pamoja ukisearch moja zinakuja zote. Sometime unakuta unataka kusearch jumbofiles unaletewa result za mediafire hapa nitawaonyesha jinsi ya kuondoa maneno
nenoninalolitaka -nenonisilolitaka
mfano
jumbofiles -mediafire -rapidshare
hapo ina maana maneno yote ambayo yataanza na alama ya negative kwa nyuma hayatatokea kwenye result zako za google.
kusearch maneno exactly yale yale
google inaposearch hua inaangalia maneno yame appear? Hua haijali yamekaa exactly pamoja au yapo separate bora yapo google inakupa result. Hapa nitaonesha jinsi ya kutafuta maneno exactly.
''maneno yako''
mfano
''mama yangu anaumwa''
hapo utaona exactly neno mama yangu anaumwa linakuja.