Your just out of your MIND Little bird
.
UMEKOSA VYA KUIBA HADI UNATAKA KUJIIBIA MWENYEWE
"You're" or "You are" would have been the right word big bird.
Kama lugha za watu ni tatizo si ungeandika kwa lugha yako tu. Yanini tabu na raha ipo?
Wewe kama hujui jibu la niliyoyauliza, kaa kimya.
"You're" or "You are" would have been the right word big bird.
Kama lugha za watu ni tatizo si ungeandika kwa lugha yako tu. Yanini tabu na raha ipo?
Wewe kama hujui jibu la niliyoyauliza, kaa kimya.
Je waeza by pass mail ya mtu? Kama kuna uwezekano huo basi tuna shida maishani mwetu!
Hata ukipata hacker wa kukuelekeza hutaelewa kitu, kama wewe ni Mbulura kwenye, programming language, utabaki kuwa mbulura, kwenye HACKING, na hutaweza kufind bugs/holes
una penda kuwa hack akina, Invisible alafu unaweka wazi, wazi, usiongee tu vi2 kwa kujisikia, hawa jamaa wana rights zote,
ni sawa na wanakumilik wewe, wanauwezo waku kufungia account, na kila k2 ila sio wewe usie jua hata kufind bugs, anza kujifunza ku hack email, na Fb accounts, na kabla ya kuja humu kuwa hack ma robot, anza na Jf Users, kwa kujifunza uje anza na ku n hack mm, ila sio ukurupuke kum hack Invisible"
Nna knowledge ya kompyuta kuliko wewe, ujichanganye na mwalim wako, mwalim wako nae ajichanganye na mwalim wako. Bado mtakuwa hamjafikia robo ya ujuzi niliokuwa nao kwenye kompyuta
Ntasimamia hapo.
.
Una haki ya ku jikweza mana, haitakiwi hata cku moja, mwanamke kujishusha Eeeeh we computer unaijua kwely yan
.
.
Nikisomaga kitabu hiki kinanifurahishaga sana
Mpe za USO huyo Mjinga anajifanya anajua computer Kumbe wazee tumetulia hajui hata Kama ulikuwa una joke achana nae mjinga huyo anachojua ni php anajiona programmerNimeanza kutumia kompyuta yangu binafsi mwaka 1982, siku hizo kama hujui programming ya aina fulani huwezi kutumia kompyuta. Upo hapo ulipo?
Na kabla ya hapo nimetumia kompyuta za kazini zilizokuwa na "unique programming language iitwayo SL1", ni lugha ya kwanza kutumika katika mitambo ya "digital", lugha hiyo ilitumika katika mtambo wa kwanza kamili wa mawasiliano ya "digital" ulioitwa Northern Telecom SL1 PABX.
Nimesoma chuo kiitwacho Bell Northern Research kilichopo Bellevue Canada. Nenda ka google ujuwe hiki ni chuo cha nini ujipatie faida, na hiyo ni early 80's. Nnajivunia sana kuwa Mtanzania wa kwanza aliyeweza kufika chuo hicho (highly prestigious) kwenye nyanja ya mawasiliano na ndicho kilichovumbuwa mtambo wa kwanza kamili wa mawasiliano ya "digital". Upo hapo ulipo?
Usione vinaelea vimeundwa. Usione tunaingia haya majukwaa ya teknolojia tukaandika mambo ya utani ukadhani kuwa sisi mamburula kama wewe. Ukifatilia japo kwa uchache maoni yangu kwenye jukwaa hili utapata japo sura ya mbali, mimi ni wa aina gani. Usione kikiulizwa kitu humu, sisi twakaa kimya, tunawaachia vijana wajifarague, mara moja moja tunapoona mtu kauliza kitu ambacho vijana kinawapiga chenga ndio huingi na kutoa ushauri wetu kwa mbali. Huwa hatujiambi kwa ujuzi wet mpaka anapotokea mjinga mjinga mmoja hivi asiyetujuwa ndio humfungulia kiduchu kumweka kwenye mstari, mfano mzuri ni wewe.