Jifunze Kinyakyusa hapa

Hakina faida yyte
 
Wabongo tunasafari ndefu ndio maana tunafeli mambo mengi kwa sababu ya kutokuwa makini mtu ametoa maoni watu wajifunze lugha wengine wanaleta ujingaujinga tutafika kweli?
 
Si
Wabongo tunasafari ndefu ndio maana tunafeli mambo mengi kwa sababu ya kutokuwa makini mtu ametoa maoni watu wajifunze lugha wengine wanaleta ujingaujinga tutafika kweli?
Si ndo hapo. Heading tu inatosha kumfanya mtu ajue kilichomo ndani, ila bado kaingia ndani kujua kilichomo. Hajaishia japo, anaamua kutoa maoni hasi.
 
Na kwa nini lugha ya kinyakyusa naona ina "h" nyingi sana yaani karibu kile neno utakuta lina "h" katikati ?.
Kwangu ni swali gumu na swali jepesi pia.

Kila kabila lina herufi ambayo haikosekani katika matamshi jifanyie utafiti.

Kwanini ili KUJITOFAUTISHA.

SINA ZAIDI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…