Jifunze kilimo cha nyanya

Muda mzuri wa kufanya kilimo hiki ni mwezi wa ngapi?
muda mzuri ni miezi ile isiyokuwa na mvua ili kukiwa na mvua uwe na mzigo teyari maana kipindi cha mvua ndicho wakulima wengi huandaa mashamba na kuanza kufanya kilimo hivyo ukienda kwa kinyume kipindi hicho cha mvua wewe ukiwa na mzigo wa kutosha ambao upo teyari utapata pesa sana kama unavyojua kuwa kipindi cha mvua mazao huwa hadimu sana....
 
Wataalamu nimepatwa na tatizo ktk nyanya zangu, hasa majani ya chini
IMG_9022.jpg
IMG_9022.jpg
 
dokta ; matunda ya nyanya yanaharibika kwa kuanzia kwenye kitako cha tunda la nyanya. Wengi wanasema tatizo ni joto. nipo tabora. je ni kweli tatizo ni joto? nifanyeje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Maji ndo dawa ya uo ugonjwa...inaonyesha miche hukuipa maji ya kutosha ama ulikuwa unamwagia kwa wingi ili kesho usimwagie...sekta ya umwagiliaji ni pana sana unatakiwa umwagie maji ya kutosha ila yasizidi sana na unatakiwa uzingatie muda kama ni kwa wiki mara tatu iwe ndio sheria hiyo hiyo sio unabadilika badilika....mimea ipo kama binaadam...
 
Wataalamu nimepatwa na tatizo ktk nyanya zangu, hasa majani ya chiniView attachment 578476View attachment 578477
Tafuta dawa za ukungu...pia na za wadudu....ebony au ivory inaweza ikafaa...vile vile ni kama hiyo miche imedumaa kwa kukosa maji ya kutosha...mwaga maji kwa wingi ila si kwa kiasi kikubwa kupitiliza muda wa kumwagia uwe asubuhi au jioni ila kabla ya saa 12....mwisho wa kumwagia uwe saa 11. Jioni....usisahau mbolea za kukuzia ukikosa tumia mbolea ya ng'ombe au ya kuku....ichanganye hiyo mbole kwenye maji ya kumwahilizia...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom