JIFUNZE ki-nyiramba.

JIFUNZE ki-nyiramba.

Upuuzi mtupu. Kama hamna kitu cha maana cha kuleta hapa JF si bora muwe mnapita tu. Eti KINYIRAMBA. Wengine ETI majina ya Kinyamwezi sijui nini. PUMBAFF. JK Nyerere aliondosha ukabila TZ. Mnataka kuleta ukabila hapa. PUMBAFFFFFF.
 
kichwa cha shoka la machinjioni baada ya kazi na chenyewe kinapikwa mchuzi wake sasa{msuli wa mpopo} tunakula na ugali,
kutana na mnyiramba origino naamini iramba nkulu tanzania nino{iramba ni kubwa kuliko tanzania nzima}

a.k.a mchuzi wa shoka.
 
Upuuzi mtupu. Kama hamna kitu cha maana cha kuleta hapa JF si bora muwe mnapita tu. Eti KINYIRAMBA. Wengine ETI majina ya Kinyamwezi sijui nini. PUMBAFF. JK Nyerere aliondosha ukabila TZ. Mnataka kuleta ukabila hapa. PUMBAFFFFFF.
hey pole pole mzee mate hayo maana unaongea huku umeshika mti na unakita miguu kuonyesha msisitizo.au wewe mnyaturu? Kama vp anzisha tobic ya ukabila katika jukwaa la siasa nitakuja kuchangia.eti ukabila hauoni hata aibu dada zetu kufuata ukabila wa wazungu wa kuvaa nusu uchi,yes yes nyiingi hamna lolote.mimi binafi nampango wa kurudisha ukabaila nitaanza na wote wanaojizaririsha nakujiona wao hawana cha kujidaia tofauti na kuiga uzunguni.
 
Yaani we Jaluo_Nyeupe umenifanya nicheke kweli jirani, mana user name yako mie nlidhani ni Jaluo au unatokea kanda ya ziwa kumbe ni Nyiramba gete gete.. hahahahah
huyo panzi ni gugwa au sute?
 
Upuuzi mtupu. Kama hamna kitu cha maana cha kuleta hapa JF si bora muwe mnapita tu. Eti KINYIRAMBA. Wengine ETI majina ya Kinyamwezi sijui nini. PUMBAFF. JK Nyerere aliondosha ukabila TZ. Mnataka kuleta ukabila hapa. PUMBAFFFFFF.

Mbona unamwaga MAPOVU kama Lusinde!? umeangalia ni jukwaa gani hili!? muwe mnapiga hodi kwanza,kukurupuka huko,kuna siku utamkuta .......... yako uchi anaoga!
 
Back
Top Bottom