JIFUNZE ki-nyiramba.

Slave

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
5,314
2,635
1.sing the =singida 2.other one? =alikuwa nani? 3.no one=na nani? 4.per show=hapo 5.tae par=chota 6.in dog we=punda 7. Na sita=sitaki 8.one=nani 9.two one?=tu nini 10.tour show =huto hapo. Eka nindowe mako pashow.
 
Mngetumia tekniki nyingine kutambua jinsia yao na majinayao halisi!!tumeshawajua wanyiramba.....wadi songela!!!
 
hahah, mtu kwao!

mi sitii neno hapo, hata kinyiramba cha kuombea maji sijui. hongereni kwa kuzienzi lugha zetu za asili
 
da judith safi sana kwa kuliona hilo.usiwe na wasi kuhusu kufahamu namna ya kuomba maji. Waweza kusema NILOMPA/NALELYE MAZE MAKUKOPA.
 
1.sing the =singida 2.other one? =alikuwa nani? 3.no one=na nani? 4.per show=hapo 5.tae par=chota 6.in dog we=punda 7. Na sita=sitaki 8.one=nani 9.two one?=tu nini 10.tour show =huto hapo. Eka nindowe mako pashow.

Iiza= easy,
 
Suruali huitwaje kwa ki-nyiramba
 
Back
Top Bottom