Jifunze jinsi ya kufanya software update katika decoder ya best HD4U

Jifunze jinsi ya kufanya software update katika decoder ya best HD4U

Hivi hii best hd 4u ina edit biss key... Nimejaribu nimeshindwa, kwa anayejua tafadhali
 
soft_Update_RCT.png


Download Link for Q11G: http://bit.ly/rctQ11G

Download Link for Q11G+: http://bit.ly/05Q11GPlus

Download Link for Q13G: http://bit.ly/rctQ13G

Download Link for Q13G+: http://bit.ly/rctQ13Gp

Download Link for Q16G: http://bit.ly/rctQ16

Download Link for Q23G: http://bit.ly/rctQ23G

Download Link for Q26G: http://bit.ly/rctQ26G

Download Link for SPEED HDs1: http://bit.ly/rctSPS1
.......​
 
New Software Update June 2015
Update Mpya kwa decoder za Qsat Q26 & Speed HDs1
  • Hii update inaongeza menu katika QSAT & Speed HDs1 ili kuweza kuweka account mpya ya SpeedCam ifunguayo CanalSat nss7 22.w
  • Iwapo account yako ya Spycam (QSAT q26g) au SpeedCam (Speed HDs1) imeisha muda wake, [1] Pakua file husika [2] Fanya upgrade ya decoder yako [3] Wasiliana nami ili kupata account ya speedcam
Pakua file husika kwenye hizi link:

Chanzo: bit.ly/MWLRCT
 
TOLEO JIPYA LA SOFTWARE KWA RECEIVER ZA QSAT
m_20140101000758.jpg

Tarehe ya Toleo: 08.09.2015
Toleo la Software: v7.09.08 & v7.09.07
Lengo la hili toleo: Ni kufuta Menu ya AVATARCAM/DQCAM na kuweka MENU mpya ya SPYCAM
Sababu: (1) AvatarCam Codes zimasitishwa kutolewa na HAZITOTOLEWA tena, (2) Ni SPYCAM code pekee ndio zitaendelea kutumika kwa matoleo yote ya QSAT

DOWNLOAD HAPA FILE HUSIKA KWA RECEIVER YAKO
QSAT Q23G: bit.ly/m1123
QSAT Q15G: bit.ly/m1115
QSAT Q13G: bit.ly/m1113s
QSAT Q11G: bit.ly/m1111
SPEED HDs1: bit.ly/m1113
QSAT Q16G+: bit.ly/m1116p
QSAT Q13G+: bit.ly/m1113p
QSAT Q11G+: bit.ly/m1111p
{Copy & Paste kwenye browser mfano: bit.ly/m1111p }
HATUA ZA KUFUATA
1. Download faili husika kwa ku_click moja ya link hapo juu.
2. Fungua ZIP file ( waweza kutumia 7Zip au Winrar)
3. Copy .BIN file (ulilopata hatua namba 2.) na weka kwenye USB flash
4. Chomeka Flask kwenye receiver yako.
5. Kwenye remote bonyeza MENU > UPGRADE > USB/Card UPGRADE > UDSKA1 > chagua .BIN file > OK

m_20140101000511.jpg


6. Subiri ifike 100%, Ita_restart.

m_20140101000651.jpg


7. Ingia MENU > SETTINGS > XCAM SETUP> kwenye SPYCAM ingiza CODES nilizokupa.
m_20140101000856.jpg


Chanzo: Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver
 
BEST HD 4U ndio isha kufa kifo cha mende?
 
BEST HD 4U ndio isha kufa kifo cha mende?
  • BEST HD4U latest software: (NITAKUWEKEA LINK)
  • AONE Latest software: http://v.ht/7qew
Update ya BEST HD4U imelenga mambo mawili.
  • Kua_activate IPTV feature ambayo haikuwa active kwa software ya awali
  • Pia iatwezesha kufanya activation for FREE ya IPTV account
  • Loading itakuwa ya haraka pindi uwashapo BEST HD4u
 
  • BEST HD4U latest software: (NITAKUWEKEA LINK)
  • AONE Latest software: http://v.ht/7qew
Update ya BEST HD4U imelenga mambo mawili.
  • Kua_activate IPTV feature ambayo haikuwa active kwa software ya awali
  • Pia iatwezesha kufanya activation for FREE ya IPTV account
  • Loading itakuwa ya haraka pindi uwashapo BEST HD4u

pls guys i need besthd 4u latest update pls help
 
Download POWERVU Software for Qsat Series Decoder
  • Audio issue FIXED
Software Version: v8.01.23
Release Date: 23.01.2016

Q28G
Download link: jq28g

Q26G
Download link: j2q26g

Q23G
Download link: j2q23g

Q13G
Download link: j2q13g

Q11G
Download link: j2q11g

SPEED HDs1
Download link: jsdhd

JINSI YA UINGIZAJI WA POWERVU KEY KATIKA QSAT

MAHITAJI
  1. Qsat receiver - Iliyowekewa Software update v8.1
  2. Set Dish na Ingiza Channel za PowerVu kwa sat Husika
  3. PowerVu key zinazofanya kazi - Mfano kwa MTN world key kwa sasa ni hizi.
    00: 98 65 B2 62 77 F7 AB
    01: FF FA 91 E9 7B 25 70
JINSI YA KUINGIZA PV_KEY
  1. Kwenye remote bonyeza MENU
  2. Kisha tafuta SETTINGS
  3. Fungua XCAM
  4. Chagua PATCH na Bonyeza OK
  5. Kwenye CAS TYPE chagua POWERVU
  6. Shuka hadi kwenye KEY (HEX)
  7. Bonyeza RED/ GREEN button ili kuweka key mpya
  8. Kisha ingiza key kwa huu mtiririko
    9865B26277F7AB00FFFA91E97B257000
    a) Key zote ziwe katika mstari mmoja
    b) Kila baada ya kuingiza key malizia na 00
    c) Hivyo baada ya key ya kwanza kuna 00 na baada ya key ya pili kuna 00
  9. Bonyeza Button ya BLUE ili ku_Confirm na ku_save key zako.
  10. Done- Umekamilisha uingizaji wa key na Channel zote husika zitafunguka
FAQ.
  1. Je iwapo channel hazifunguki baada ya kuingiza key tatizo ni nini?
    > Yawezekana umekosea katika uingizaji wa key, kwa kuingiza namba au herufi isiyo sahihi. Kama umehakiki key zote ziko sawa basi huenda key zitakuwa zimebadilika na unatakiwa utafute key mpya
  2. Nini nifanye ili kuepuja uwekaji wa key manually?
    > Kama una Q26/ Q28 receiver hakikisha unapata Softcam.key file jipya kila wanapotoa
    > Waweza kununua decoder ambayo hupata key automatically (AUTOROLL) pili key zikibadilika. Mfano GSKY V6 Decoder inapata key mpya kila zikibadilika. Hivyo huto angaika kutafuta kwenye internet key mpya.
  3. Je nitapata wapi GSKY V6 Decoder?
> Wasiliana na MWL.RCT au M2N na utaweza kupatiwa GSKY V6 Decoder
  1. Nina maswali zaidi nini nifanye?
    > Andika kwenye comment hapa chini kwenye hii thread au andika kwenye thread hii nyingine: www.bit.ly/MWL.RCT
  2. Faq - Itaendelezwaa kadri maswali yatakayojitokeza kwenye comments
img_20160126_wa0001.jpg


img_20160126_wa0000.jpg
 
Mwl.Nawezaje kutumia IPTV kwa kutumia Q11G?.Mahitaji ya muhim ni yapi?.Nimejaribu kufungua inasema network error.Nini kinakosekana iliniweza kuona?.
 
Mwl.Nawezaje kutumia IPTV kwa kutumia Q11G?.Mahitaji ya muhim ni yapi?.Nimejaribu kufungua inasema network error.Nini kinakosekana iliniweza kuona?.
Ndio inawezekana.
Baada ya kuwasha Receiver bonyeza Button ya kijani. IPTV menu itajitokeza, Fungua palipoa andikwa FREE.
Chagua channelk mojawapo. Na itafunguka.

Ila lazima utumie 3g au WiFi network ili kupta internet ya kasi kubwa.

Karibu
 
Msaada jaman nina cm yng aina ya microsoft lumia xl 640 nikijaribu ku update window ten inakubali ila kwnye kuinstooo hiyo window inafeli msaada jaman kwa anayejua
 
Mwl naomba msaada mimi natumia qsat11 lakini kila nikiungansha wifi au 3g lakini ipv free hazifunguki nini tatizo msaada wako tafadhali mwl
 
Back
Top Bottom