anonymousafrica
JF-Expert Member
- Aug 24, 2016
- 611
- 641
kuna sehemu sauti imepishana samahani kwa hilo ila inaeleweka
Kama hauna cha kunipa basi tabasamu ukifurahi kisha subscribe my channel
Ukishadownload software ya kucrack kwenye link hapo chini BAADA YA KUFUNGUA VIDEO, ifungue na uchague aina ya adobe software uliyonayo (KWA MFANO , MIMI NIMEICHAGUA PREMIER PRO), USIKOSEE
Click install na hapo utapelekwa moja kwa moja kwenye mafile ya computer yako. software nyingi hukaa kwenye disc c ambapo huwa tunapiga window huko
ingia katika Program file
Adobe
Alafu chagua software unayoicrack
Chini kabisa ndani ya software yako utakutana na file limeandikwa amtlib.dll OPEN, NA HAPO UTAKUWA UMESHACRACK NA UTAANZA KUITUMIA FREEEEEEEE