Jiepushe na Mapenzi/mahusiano

Miss Champagne

JF-Expert Member
Sep 2, 2020
2,157
6,309
Ikiwa tu unajijua huna nguvu za kifikra na kihisia,zenye kuweza kukusaidia kuhimili nyakati ngumu pale zinapokutokea katika misukosuko,kuachana,migogoro,falaka nk.

Narudia tena kama huna nguvu za kifikra na kihisia zitakazoweza kukusaidia pale unapoyumba matokeo unashindwa kumaster depression, stress,kuwaza kujiua ama kudhuru wengine please usiingie kwenye mahusiano ya kimapenzi ama ndoa,YA MAISHA YANATOSHA !

Imagine maisha magumu,kipato kigumu,frustrations kibao zinakupelekesha,bado unaendekeza mapenzi unatafuta nini?

Waachie watu imara,mwanamke/mwanaume mwenye nguvu za kifikra anaejua kumaster hisia make haui watoto na huwezi sikia habari kama hizo
Mwenye fikra zenye nguvu anajua kumaster hisia zake,hata atukanwe vipi,asimangwe vipi ohh single mother this,singlemother that bado anasimama imara

Mwenye fikra imara hata aachwe mchana kweupe kisa kaporomoka kiuchumi mke kaenda kuolewa kwingine atalia lakini akimaliza atafuta machozi kisha anasimama upya,na kubeba aibu yake..kisha yanapita
huwezi sikia kaua watoto kisa mama asie na msimamo.

Nawajua watu kibao waliopitia ups and downs ikiwemo mimi.kuanzia za maisha mpaka mahusiano,na imara wakasimama hawakufanya mambo ya ajabu.

Imarisha fikra zako kwa nyakati ngumu ili uweze kumaster hisia zako.
Na ukiona haupo imara achana na mapenzi.we deal na maisha tu
Mapenzi.yanaumaa nyie

JE WEWE UKO IMARA?
 
Upo sahih Kuna vtu vyingin katika maisha ni bola kuviacha vipite 2

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ukiwa na pesa hayaumizi hata kidogo..
Wanaoumizwa na mapenzi wakiwa na pesa ni watu wa ajabu sana.
Ishu sio pesa..mbona celine dion kaisha na utajiri wake baada ya kumpoteza mumewe?
Ishu ni vile deep unapozama halafu hauko mentally strong kukabili lolote litakalotokea..just incase.
 
Nakubaliana nawe mleta mada, ukiyapa mahusiano na mapenzi na ngono kipaombelea au umuhimu lazima upate usumbufu kuanzia wa fikra akili roho na mwili.

Ukweli ulio wazi sio mapenzi wala ngono ndio inaleta furaha timilifu ya mtu.
Na yanakupelekesha haswa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom