Ms eyes
JF-Expert Member
- Feb 4, 2023
- 4,773
- 11,976
Mazoea tu na zile memories ndio zinaumizaHivi inakuajee mtu unaumia au kuteswa na mapenziii?? Mapenzi yapii kwan? Haya ya watu wazima walio kutana huku kila m1 akiwa na meno yote 32, na hawakuzaliwa pa1???
Hapanaa kwa kweliiii,![]()

