Jiepushe na Mapenzi/mahusiano

Jiepushe na Mapenzi/mahusiano

Ni vizuri.ila usije kulia tu ukiachwa na kutishia kuua.
Jiandae mentally and emotionally!
 
Ku Do kupo tu ndugu
Nakubali kupoo..ila sasa pachika mimba mtu asie sahihi mlikutana kupozana nyege tu...ndo matokeo unasikia mama kamchoma visu kamla mwanae kisa baba hamtaki tena

Ndo mana nakwambia tumia akili sio moyo pekee
 
Tatizo la afya ya akili linazidi tena kwa kasi mno.

1.wivu kupindukia,

Hii si dalili nzuri sana ukiona mtu anakuwekea wivu kupitiliza achana naye fasta huenda ana matatizo ya akili

2.Kukamia mechi,

Tendo la ndoa/ngono ni tendo la hisia linaloleta furaha kwa wawili yaani kuhakikisha Kila mtu kaenjoy, lakini ukiona mtu anafanya kama kukomoa, hayo ni matatizo ya akili kwani mtu mwenye akili timamu hawezi fanya hivyo.

3.kukumbushia zawadi na misaada

Ukiona mtu ana tabia ya kukumbushia vitu fulani ambavyo aliwahi kukusaidia basi log out mapema huyo huenda ana matatizo ya akili.

4.Mtu asiyejua Mapenzi.

Design ya watu hawa wenyewe hujiona mashababi na tabia zao za kusimulia mambo vijiweni huku silaha yao kubwa ikiwa ni kuhonga , Hawa ni hatari sana kwani huwa hawajiamini na ikitokea amesalitiwa basi hufanya maamuzi magumu sana.

Jack Daniel
Kwa vijana wa sasa..hizo zote ulizotaja ni tabia zao za kawaida na haziepukiki
 
Mkeo/Mumeo ni binadamu ukishajua kuwa hauishi na Malaika bali Binadamu mwenzio basi hautajinyonga/kuua ukisalitiwa.

Vyema umwambie Mwenza wako anachokitafuta nje anaweza kukipata ndani mkifundishana pamoja na kuyajenga pamoja.

Ikishindikana, umkumbushe kuchukua tahadhali akijua nje kuna maradhi kuanzia yenye kupona baada ya kuchomwa masindano mfululizo na mengine yenye kukufanya umeze dawa hadi figo zifeli na hadi unaingia kaburini.
Tunaishi kwa matarajio hilo ndio kosa
Pia tunawekeza hisia deep kiasi ukiumizwa tu unayumba

Halafu unaposema anachokitafuta nje anaweza kipata ndani inategemea anatafuta nini,mme una kipato cha chini ye anadanga kuhongwa milion utampatiaje na huna hela?
Mwanaume anatafuta mambo machafu huwezi kufanya kama mke mwache tu aende.jikaze akishapata anachotaka basi arudi mlee familia.kikubwa ujilinde tu.
 
Binafsi sijui nikoje huwa siwazi kuhusu mahusiano ninachowaza mm ni kuzagamuana tu so mtu akinipea then akaenda zake siwazi hta kdgo na km ananipea na ananipenda bc najitahidi kwenda nae sawa
Uko sawa.ila acha zinaa.kama unaweza oa huyo unaeenda nae sawa!
 
Tunaishi kwa matarajio hilo ndio kosa
Pia tunawekeza hisia deep kiasi ukiumizwa tu unayumba

Halafu unaposema anachokitafuta nje anaweza kipata ndani inategemea anatafuta nini,mme una kipato cha chini ye anadanga kuhongwa milion utampatiaje na huna hela?
Mwanaume anatafuta mambo machafu huwezi kufanya kama mke mwache tu aende.jikaze akishapata anachotaka basi arudi mlee familia.kikubwa ujilinde tu.
Mapenzi bila hisia ni hakuna mapenzi.

Unapopenda kunaendana na hisia kwa huyo mtu, hivyo ni ngumu kutofautisha labda Wanaume ndiyo tunaweza ila sio wanawake.

Kuhusu tamaa, kila mmoja aridhike na yule aliyenaye.
 
hayo ukiyapitia sana bila kupotea matokeo unakuwa imara.nakumbuka nlivokua nalia hadi macho yanavimba kisa kiboyfriend hapo udogoni.

Ila sasa kwa hawa miaka 40 unafanya mbo ya ajabu nashangaa
kwa kweli mapenzi kwangu sio kitu cha kunifanya niumie au nitesekee,

Sijui labda huko mbeleni, ila kwa sasa nehiiii.
 
Back
Top Bottom