Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,708
- 5,711
Fuatilia vizuri historia.Mkuu mbona hukuyasema haya enzi zile?
Nini hiki unapost?Naona mmeanza kuokoka na akili zinarudi
Umejiunga JF march 21 unafahamu nini?Kifo cha jiwe kimewavuruga sana vijana wachumia tumbo.
Hapa ndio tunaona na tutaona kila langi zao halisi.
Kwa utawala uliopo kitu hicho hakiwezekani. Yaani ukimtaja TL wote mpaka wa juu wanapigwa butwaa na ganzi!Hii imelipaka matope makubwa sana jeshi la polisi hapa Tanzania.
Public figure anashambuliwa kwa masasi zaidi ya 33 mchana kweupe alafu hakuna uchunguzi wala kufungua jalada!
Kwa kauli yake mwenyewe mkuu wa nchi amekiri kuwa polisi wa Tanzania hawafanyi kazi kwa weledi. Hii ina maanisha kuwa hawafanyi uchunguzi unaofaa na kutoa haki.
Maana yake ni kuwa wasio na makosa wanabambikiwa kesi na walio na makosa wanaachiwa.
Ndio maana polisi kwa aibu kubwa wanakiri kuwa wanapitia majalada yao ili kubaini waliowabambikia watu kesi.
Na kwa mantiki hii ni wazi kuwa watu waengi wapo magerezani bila kuwa na makosa.
Pia kuna watu wengi tu ambao wanamakosa ila wapo uraiani na hawajachukuliwa hatua.
My take: wakati polisi inataka kuwachomoa ambao hawana makosa basi hata walio na makosa kama waliomshambulia Lissu, kuua raia wengine na hawajakamatwa wakamatwe pia
inafikirisha sanaHii imelipaka matope makubwa sana jeshi la polisi hapa Tanzania.
Public figure anashambuliwa kwa masasi zaidi ya 33 mchana kweupe alafu hakuna uchunguzi wala kufungua jalada!
Kwa kauli yake mwenyewe mkuu wa nchi amekiri kuwa polisi wa Tanzania hawafanyi kazi kwa weledi. Hii ina maanisha kuwa hawafanyi uchunguzi unaofaa na kutoa haki.
Maana yake ni kuwa wasio na makosa wanabambikiwa kesi na walio na makosa wanaachiwa.
Ndio maana polisi kwa aibu kubwa wanakiri kuwa wanapitia majalada yao ili kubaini waliowabambikia watu kesi.
Na kwa mantiki hii ni wazi kuwa watu waengi wapo magerezani bila kuwa na makosa.
Pia kuna watu wengi tu ambao wanamakosa ila wapo uraiani na hawajachukuliwa hatua.
My take: wakati polisi inataka kuwachomoa ambao hawana makosa basi hata walio na makosa kama waliomshambulia Lissu, kuua raia wengine na hawajakamatwa wakamatwe pia
anyway tusubiri tuoneKwa utawala uliopo kitu hicho hakiwezekani. Yaani ukimtaja TL wote mpaka wa juu wanapigwa butwaa na ganzi!
kimewavulugha mno. Wasijue la kufanyaKifo cha jiwe kimewavuruga sana vijana wachumia tumbo.