Jicho la tatu: Kama prominent figure Tundu Lissu alidhulumiwa haki yake, sisi makabwela tusio na mbele wala nyuma ndio tutapata haki?

Chagu wa Malunde

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
8,708
5,711
Hii imelipaka matope makubwa sana jeshi la polisi hapa Tanzania.

Public figure anashambuliwa kwa masasi zaidi ya 33 mchana kweupe alafu hakuna uchunguzi wala kufungua jalada!

Kwa kauli yake mwenyewe mkuu wa nchi amekiri kuwa polisi wa Tanzania hawafanyi kazi kwa weledi. Hii ina maanisha kuwa hawafanyi uchunguzi unaofaa na kutoa haki.

Maana yake ni kuwa wasio na makosa wanabambikiwa kesi na walio na makosa wanaachiwa.

Ndio maana polisi kwa aibu kubwa wanakiri kuwa wanapitia majalada yao ili kubaini waliowabambikia watu kesi.

Na kwa mantiki hii ni wazi kuwa watu waengi wapo magerezani bila kuwa na makosa.

Pia kuna watu wengi tu ambao wanamakosa ila wapo uraiani na hawajachukuliwa hatua.

My take: wakati polisi inataka kuwachomoa ambao hawana makosa basi hata walio na makosa kama waliomshambulia Lissu, kuua raia wengine na hawajakamatwa wakamatwe pia
 
Kwa utawala uliopo kitu hicho hakiwezekani. Yaani ukimtaja TL wote mpaka wa juu wanapigwa butwaa na ganzi!
 
Hii imelipaka matope makubwa sana jeshi la polisi hapa Tanzania.

Public figure anashambuliwa kwa masasi zaidi ya 33 mchana kweupe alafu hakuna uchunguzi wala kufungua jalada!

Kwa kauli yake mwenyewe mkuu wa nchi amekiri kuwa polisi wa Tanzania hawafanyi kazi kwa weledi. Hii ina maanisha kuwa hawafanyi uchunguzi unaofaa na kutoa haki.

Maana yake ni kuwa wasio na makosa wanabambikiwa kesi na walio na makosa wanaachiwa.

Ndio maana polisi kwa aibu kubwa wanakiri kuwa wanapitia majalada yao ili kubaini waliowabambikia watu kesi.

Na kwa mantiki hii ni wazi kuwa watu waengi wapo magerezani bila kuwa na makosa.

Pia kuna watu wengi tu ambao wanamakosa ila wapo uraiani na hawajachukuliwa hatua.

My take: wakati polisi inataka kuwachomoa ambao hawana makosa basi hata walio na makosa kama waliomshambulia Lissu, kuua raia wengine na hawajakamatwa wakamatwe pia
inafikirisha sana
 
Changu wa malunde umekua mwema kweli mpaka unayaona maovu ikiwa ndio hivyo basi ungana nasi kudai katiba mpya na tume Hulu sote tutakua tumepona
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom