Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,658
WALIOMUUA LEMA HAWA HAPA! wakazi watatu wa Jimbo la Arusha Mjini na wanachama wa CCM Kulia ni Mussa Mkanga,Agnes Mollel na Happy Kivuyo waliofungua kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi katika jimbo hilo kwa Mbunge wa Chadema Godbles Lema,wakiwa katika chumba cha Mkahakama Kuu Kanda ya Arusha leo wakati kesi hiyo ilipoanza kusikilizwa. View attachment 51051[/QU
Kwa analysis yako kama wazee hawamtaki then vijana watamchagua Lema!
Kumbuka Vijana ni zaidi ya 50% ya wapiga kura na wazee hawataenda piga kura wakihofia fujo!
MUNGU HASHINDWI NA SHETANI HATA SIKU 1, sauti ya UMMA ni sauti ya MUNGUHongereni sana....mmeishinda nguvu yao ya umma, mmemshinda mungu wao wanayesema yupo juu!!!
CCm wembe ni ule ule ushindiiiiiii imekula kwenu CDM big tyme!
Hawa ni mashujaa na wanastahili hadhi ya kitaifa,
Lema ni mbaguzi/mdini na anachochea ukanda na ukabila, LEMA amesababisha watu waichukie Chadema Hafai wala hafai hata kidogo.
Hongera Majaji na mahakimu kwa kutenda haki.
Hongera mliomfungulia mashtaka, Mungu awalipe.
Ameeeeeeeeeeeen
usisahau kuwa wembe unaweza kukata sehemu mbili, hasa kwa yule aliyeushika! Kama una macho tazama, kama una masikio sikia!
NIMETOA MAONI YANGU KAMA MWANACHAMA WA CHADEMA MWENYE KADI NAMBA CDM 0487097 NA MPIGA KURA WA ARUSHA
sahau ndugu yangu Lema, Godbless ni mbunge wetu jimbo la Arusha kama uko usingizini unaota ngoja nikushtue uamke. hapa ni arusha tumechoshwa na siasa mbovu hatuko tayari kuleta mafisadi watutawale hawajui machungu yetu. Lema ni Mbunge wetu. God Chosen one. Yuko mapumziko ya muda tu anarudi bungeni kututetea walalahoi.
Peopleeeeeeeeeeeeeeees Power
fisadi walijua watashinda arumeru wakaandaa mazingira ya rushwa ili waje arusha mjini lakini wajue arusha mjini wataisikia kwenye redio.