Jicho la nne ono la njia ya kuzimu

Jicho la nne ono la njia ya kuzimu

Binadamu ana macho mawili ya kawaida.... Yanayoona vitu vya kawaida kabisa visivyohitaji darubini ama hadubini kuona... Ndio macho tunayotumia kila siku kwenye maisha yetu kuona tunavyotaka kuviona na tusivyotaka kuviona pia.... Ni kupitia macho haya ndio tunaweza, kuangalia, kutazama na hatimaye kuona... Kwakuwa tunaweza kuangalia au kutazama lakini tusione....!!!! Macho haya wote tunayo tunayaita macho ya kawaida.. Hata wenye ulemavu wa uono wanayo

Halafu tunakuja kukutana na kitu kinaitwa jicho la tatu... Hili huwa moja tu.... Linatambulika kama jicho la kiroho... Lionalo zaidi ya kuona.. Lionalo zaidi ya darubini na hadubini... Ni jicho lenye uwezo wa kuona yajayo... Uwezo ambao macho ya kawaida hayana.... Jicho la tatu ni maalum kwa watu maalum.. Si kila mmoja wetu anauwezo wa kulimiliki hili jicho

Macho hayo matatu yote yako kwenye upande unaoelezeka zaidi... Lakini kama tujuavyo dunia Ina uwili... Yani kila kitu kina kinyume chake.... Ama uwili wake.... Kwenye hili la macho uwili wake sio jicho la kushoto ama kulia, ama lile jicho la rohoni... Kuna jicho lingine tofauti kabisa jicho lisilo na mboni, jicho butu lenye kipenyo.... Jicho la ajabu hili....!!!!

Hivi ulishawahi kusikia watu wanaume wakisimuliana kuwa.....
Wamekula jicho?
Ama wakisimuliana utamu wa jicho?
Au wakilisifia jicho?
Naamini hizi si habari ngeni kwako.... Jicho ndio habari ya mujini.... Lakini je unafahamu tafsiri ya jicho hili? Hili ndio jicho la nne la mwanadamu ukiacha yale mawili ya kawaida na lile moja la rohoni....
Jicho hili la nne ndio ono la mlango wa kuzimu... Hufunguka tu pale linapochungulia mlango wa kuzimu... Rejea hii mada....

https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1251985/

Cha kushangaza mno ni kwamba dunia ya sasa ushabiki wote ni kwenye jicho la uono wa kuzimu.... Je unabii utajirudia? Maana miji ya Sodoma na Gomora iliangamizwa kwa sababu ya watu kupenda mno jicho la uono wa kuzimu.....

Jicho la nne.... Tunaziishi enzi?
Well said Mr mshana.
Vijana wengi wanahangamia na Tamaa za aina hii thanks to me sina company ya aina hii na sikuwahi kuwaza juu ya jicho la nne .
Nashukuru kwa maneno bora.
 
Well said Mr mshana.
Vijana wengi wanahangamia na Tamaa za aina hii thanks to me sina company ya aina hii na sikuwahi kuwaza juu ya jicho la nne .
Nashukuru kwa maneno bora.
[emoji123][emoji120][emoji120][emoji123]
 
imeandikwa hakuna jipya chini ya jua, yote ni ubatili tu kwa hiyo haya yanayotendeka yalikuwako tokea enzi na ukiangalia kwa makini unabii unaenda kukamilika
 
Hahaaa mshana bana.
Sasa kama hilo jicho la 4 ndio mlango wa kuzimu. Je na hilo la mbeke nje ya yale matatu ya kwanza ni la wapi?
Mantiki ikiwa ni uasi baada ya watu kutenda yaliyoharamishwa, mbona hata hilo la mbele nje ya yale matatu ya kwanza kabla au nje ya ndoa ni jicho la kuzimu? au tuliite "lango?"
 
Kuna jamaa nilikuwa nae alikuwa na tabia ya kuingiza kidole kwenye jicho kila tukiwa faragha, loooH nikamwachilia mbali mimi, .jicho langu acha yaipite ma..vi tu.
 
Kuna jamaa nilikuwa nae alikuwa na tabia ya kuingiza kidole kwenye jicho kila tukiwa faragha, loooH nikamwachilia mbali mimi, .jicho langu acha yaipite ma..vi tu.
[emoji87][emoji87][emoji87][emoji44][emoji108][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Maarufu zaidi kwa sasa, wale wapingaji wakuu hadharani ndio wafuasi maridhawa.
 
Maarufu zaidi kwa sasa, wale wapingaji wakuu hadharani ndio wafuasi maridhawa.
.
tapatalk_1561147595808.gif
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom