Jicho la nne ono la njia ya kuzimu

Jicho la nne ono la njia ya kuzimu

Ukiwa na nia thabiti unaacha bora niliweza kuacha sigara huu mchezo sifanyi tena maana ilikuwa nikikamata demu bila kugegeda mtandao pendwa nilikuwa naona bado sijafanya kitu.
Mbaya zaidi hawa ndugu zetu hawakatai kutoa 0713..
Asante Mshana Jr kwa somo
[emoji44][emoji44][emoji120][emoji120][emoji120][emoji144][emoji144][emoji144][emoji108][emoji106]
 
Huwa nasema, ukipata mke ambaye jicho lipo intact nyakati hizi, hesabu umepata bikira, mheshimu sana kwa kuwa kajitunza
 
Huwa nasema, ukipata mke ambaye jicho lipo intact nyakati hizi, hesabu umepata bikira, mheshimu sana kwa kuwa kajitunza
Mhh huku mikoani kanda ya ziwa hakuna hayo mambo, hata kama yapo kidogo sana, labda dar
 
Huwa nasema, ukipata mke ambaye jicho lipo intact nyakati hizi, hesabu umepata bikira, mheshimu sana kwa kuwa kajitunza
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji144][emoji144][emoji144][emoji25][emoji25][emoji25]
 
.
IMG_20190621_112853.jpeg
 
Kuna mdau kaanzisha Uzi wake wakuliwa jicho siuoni tena sijui Ndio umekula ban shubaamiti miss irine kuja huku
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji87][emoji87][emoji87]
 
Mzee manyaunyau ukiachana na jicho la nne, hebu tuongelee jicho la tatu hilo la kiroho mimi nahisi hilo jicho ninalo... Haiwezekani kila jambo nikihisi kuwa linatokea na ni kweli hutokea vile vile, mfano naweza sema mhmhmh nikikunja kona pale lazima nipate ajali na kweli inatokea aiseehhh na sio mara moja ni mara nyingi sana hutokea, na huwa sikosea ila hicho kipaji sijajua namna ya kukikuza..
 
Binadamu ana macho mawili ya kawaida.... Yanayoona vitu vya kawaida kabisa visivyohitaji darubini ama hadubini kuona... Ndio macho tunayotumia kila siku kwenye maisha yetu kuona tunavyotaka kuviona na tusivyotaka kuviona pia.... Ni kupitia macho haya ndio tunaweza, kuangalia, kutazama na hatimaye kuona... Kwakuwa tunaweza kuangalia au kutazama lakini tusione....!!!! Macho haya wote tunayo tunayaita macho ya kawaida.. Hata wenye ulemavu wa uono wanayo

Halafu tunakuja kukutana na kitu kinaitwa jicho la tatu... Hili huwa moja tu.... Linatambulika kama jicho la kiroho... Lionalo zaidi ya kuona.. Lionalo zaidi ya darubini na hadubini... Ni jicho lenye uwezo wa kuona yajayo... Uwezo ambao macho ya kawaida hayana.... Jicho la tatu ni maalum kwa watu maalum.. Si kila mmoja wetu anauwezo wa kulimiliki hili jicho

Macho hayo matatu yote yako kwenye upande unaoelezeka zaidi... Lakini kama tujuavyo dunia Ina uwili... Yani kila kitu kina kinyume chake.... Ama uwili wake.... Kwenye hili la macho uwili wake sio jicho la kushoto ama kulia, ama lile jicho la rohoni... Kuna jicho lingine tofauti kabisa jicho lisilo na mboni, jicho butu lenye kipenyo.... Jicho la ajabu hili....!!!!

Hivi ulishawahi kusikia watu wanaume wakisimuliana kuwa.....
Wamekula jicho?
Ama wakisimuliana utamu wa jicho?
Au wakilisifia jicho?
Naamini hizi si habari ngeni kwako.... Jicho ndio habari ya mujini.... Lakini je unafahamu tafsiri ya jicho hili? Hili ndio jicho la nne la mwanadamu ukiacha yale mawili ya kawaida na lile moja la rohoni....
Jicho hili la nne ndio ono la mlango wa kuzimu... Hufunguka tu pale linapochungulia mlango wa kuzimu... Rejea hii mada....

https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1251985/

Cha kushangaza mno ni kwamba dunia ya sasa ushabiki wote ni kwenye jicho la uono wa kuzimu.... Je unabii utajirudia? Maana miji ya Sodoma na Gomora iliangamizwa kwa sababu ya watu kupenda mno jicho la uono wa kuzimu.....

Jicho la nne.... Tunaziishi enzi?
Muziki was diamond jichk la 4
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom