Roulette
JF-Expert Member
- Dec 15, 2010
- 5,579
- 5,383
- Thread starter
- #261
Unafanya hivo ukiamua mwenyewe au unawashirikisha wanawake hao na unahakikisha wameridhika na hali hiyo? jibu from mtazamo wako kama "experienced man"Nyumba ndogo ambaye si mke siyo sawa kabisa..
Lakini kuoa mke zaidi ya moja (mbili, tatu hadi nne) ni halali na haki..
Faida zake..
1. Uchumi ukiwa na wake wawili unachangamka zaidi unatafuta zaidi na unakuwa ideas kutoka conflicting angles
2. Kuwa busy kuondokana na infedality..
3. Kuwa na familia kubwa (wengine tunapenda kuona watoto kumi nk)
4. Kupunguza idadi ya wanawake wasiolewa (wasiokuwa na familia)..note. world ration women vs men (tunaita nusra)
Angalizo kwa wanaume: Kama huna uwezo wa kufanya maamuzi magumu dunia yako itakuwa hell (experienced men)