Jibu kwa The Boss (Nyumba ndogo)

Jibu kwa The Boss (Nyumba ndogo)

Wanataka ufikirie kua mwanaume wote anacheat, na mwanamke wote anacheat, ili tabia ikigundulika au picha ikitoka ionekane it is not so bad because we all do it. the fact is it is bad and we DON'T all do it, we don't all agree with it and it is something we can live and we should live without!

RR mm binafsi napinga haya mambo ya nyumba ndogo.
Nakataa kwa herufi kubwa nasema kwamba kuwa na bibie nje ni UJINGA na USHENZI.

Ila kuna point ya mdau mmoja hapa bado naitafakari amesema '' Kila mwanaume anae cheat ana cheat na mwanamke''

je why wadada wenyewe mchukuliane wanaume wa wenzenu?

Je hampendani?
Ni kukomoana?
Au ni nn hasa sababu?

Niliwahi kuambiwa kwamba wanawake ambao hawajaolewa wakimuona mwanaume ana pete ya ndoa kidoleni tu wanakua wanajilengesha na mara watongozwapo na wanaume wa aina hiyo hawakatai.

Je wanawake wanakua ndo mategemeo gani kwa mwanaume ambae tayari ameshaoa na uwezekano wakumuoa tena yeye haupo.

Nahitaji mtazamo wako juu ya maswali hayo.
 
With these parting words,

‘al jununi fununi alwakh khalfan wakheed’

I say so long amigos.
Which means? thank you for your support, you can only do so much in one battle but what you did was noble. you stood up for your position and I like it.
 
Nimesoma maoni ya wadau nikajikuta nikicheka t..................hakika leo nimeishiwa maneno
 
RR mm binafsi napinga haya mambo ya nyumba ndogo.
Nakataa kwa herufi kubwa nasema kwamba kuwa na bibie nje ni UJINGA na USHENZI.

Ila kuna point ya mdau mmoja hapa bado naitafakari amesema '' Kila mwanaume anae cheat ana cheat na mwanamke''

je why wadada wenyewe mchukuliane wanaume wa wenzenu?

Je hampendani?
Ni kukomoana?
Au ni nn hasa sababu?

Niliwahi kuambiwa kwamba wanawake ambao hawajaolewa wakimuona mwanaume ana pete ya ndoa kidoleni tu wanakua wanajilengesha na mara watongozwapo na wanaume wa aina hiyo hawakatai.

Je wanawake wanakua ndo mategemeo gani kwa mwanaume ambae tayari ameshaoa na uwezekano wakumuoa tena yeye haupo.

Nahitaji mtazamo wako juu ya maswali hayo.
Swala la mapenzi kwa kweli hayana mpaka na siwezi kujibu kwa niaba ya wanawake wote. Nahisi wanawake wanaopenda wanaume ambao wapo ndani ya ndoa wanavutwa na ile stability ya mume. sio boyfriend wa kawaida, ni mtu focused, ana mtazamo na mipango ya maisha etc, so he is more "mature".
Swala la tegemeo pia sijui. Kuna ambao wanategemea atamuacha nyumba kubwa aje kwake (wengi) na wengine wanategemea tu kwamba atampa starehe ya mali na mwili ila ataweza kubaki independant kwa mambo mengine.
Ni kweli mwanaume anacheat na mwanamke ila tukumbuke mwanamke huyo wa nje hana ndoa, hivo kosa lake ni kujikosea heshima mwenyewe, ila mwanaume not only anajikosea heshima ila pia anamkosea heshima mke wake wa ndani, anamkosea heshima huyo mke wa nje, na anawakosea heshima watu wokte walio hudhuria kwenye ndoa yake. Na mwisho kabisa (na ndio worse) anamkosea Mungu.
 
umesema ww ni kajumba kadogooo so ni kwamba unaiba mume wa mtu!

Kwa nini niibe jamani...
anakuja kwangu anatembea mwenyewe kwa miguu yake,
sasa huyo kaibwa?

Unaposema "cheating"... yeye ndo anakuwa ana-cheat, lakini sio mimi...
na mimi sijamuiba, anajiiba mwenyewe
 
I said the same thing when I first saw your post, and I decided to start from a new angle all together. but it would be interesting to see what you think of what I said.

kabla sijakujibu .nikuulize swali
mtu akisema 'tumieni condom' amehalalisha uzinifu na kushawishi uzinifu???????
 
Swala la mapenzi kwa kweli hayana mpaka na siwezi kujibu kwa niaba ya wanawake wote. Nahisi wanawake wanaopenda wanaume ambao wapo ndani ya ndoa wanavutwa na ile stability ya mume. sio boyfriend wa kawaida, ni mtu focused, ana mtazamo na mipango ya maisha etc, so he is more "mature".
Swala la tegemeo pia sijui. Kuna ambao wanategemea atamuacha nyumba kubwa aje kwake (wengi) na wengine wanategemea tu kwamba atampa starehe ya mali na mwili ila ataweza kubaki independant kwa mambo mengine.
Ni kweli mwanaume anacheat na mwanamke ila tukumbuke mwanamke huyo wa nje hana ndoa, hivo kosa lake ni kujikosea heshima mwenyewe, ila mwanaume not only anajikosea heshima ila pia anamkosea heshima mke wake wa ndani, anamkosea heshima huyo mke wa nje, na anawakosea heshima watu wokte walio hudhuria kwenye ndoa yake. Na mwisho kabisa (na ndio worse) anamkosea Mungu.

sasa na mimi naanza kuchanganyikiwa....
 
kina dada/mama hata mpige kelele kasi gani nyumba ndogo jamani zitakuwepo....
 
Nimepata hamu ya kutongoza mwanamke mwenye msimamo mkali...I guess it can be very entertaining!
 
kabla sijakujibu .nikuulize swali
mtu akisema 'tumieni condom' amehalalisha uzinifu na kushawishi uzinifu???????
Hajashawishi uzinifu ila ameuhalalisha tendo la ndoa. Inategemea anasema in which context sababu kuna watu ndani ya ndoa wanatumia condom na mume wao, wake zao.
Kama mtu anasema ukishindwa kukaa na partner mmoja basi tumia condom, basi anahalalisha utaratibu wa partner wengi kwa kuwaambia namna gani wanaweza kufaidi manufaa yote ya partner wengi bila kuweka maisha yao hatarini.
 
Nimepata hamu ya kutongoza mwanamke mwenye msimamo mkali...I guess it can be very entertaining!
If you do it for entertainment she will never say yes coz anamsimamo mkali precizely!
 
kina dada/mama hata mpige kelele kasi gani nyumba ndogo jamani zitakuwepo....
Hatujabisha hapo, na in fact sio hata topic ya leo. topic ni kwamba: because hivi vitu vipo, unadhani ni sawa wanaume kupeana ushauri wa namna gani mtu anaweza kumaximize faida ya nyumba ndogo?
 
Huwezi kulinganisha sex with condom na cheating bwana! impact kwa jamaa ni tofauti kabisaaaaaaaa. linganisha vitu vyenye outcome moja ndio utaona kama ni sahihi au la

Sijalinganisha sex na condom, nimetoa mfano wa njia za kupunguza maambukizi ya HIV kwamba kuna watu tofauti na msisitizo tofauti...wengine wanasisitiza zaidi abstain, wengine uaminifu na wengine condom. Wale wanaosisitiza condom kwa sehemu kubwa wanaona jamii haiwezi njia hizo mbili za mwanzo (abstain, uaminifu).

So hata hili la nyumba ndogo (kwa mjadala huu tufanye ni sawa tu na cheating), wapo (kina The Boss) wanaoona halikwepeki au ni vigumu wanaume walio wengi kulikwepa na hivyo ni vema kuwafundisha watu namna 'salama' ya kulifanya.

Sijakuelewa una maana gani unaposema "impact kwa jamaa ni.....". Usahihi upi unaouzungumzia?....kama ni kuwa nyumba ndogo ni wazi kuwa sio sahihi (lakini sio jinai pia).
 
Siku kadhaa zilizo pita kuna member alitoa post kuhusu utaratibu wa ku-manage nyumba ndogo ili asi lete utata. Member huyo anaitwa The Boss.
Pamoja na kumshukuru kwa kutoa maoni na shauri zake kuhusu Nyumba ndogo, mimi kama mwanamke nimeona siwezi kujibu kwenye post lile ila nifungue tu thread mpya sababu mtazamo wangu na wake ni tofauti kabisa.
  1. Kwanza namlaumu kwa kutoa thread kama hiyo sababu ina halalisha kitu kilicho haram. nikijieleza kwa mfano, ni kama kusema inakatazwa kuua mtu ila kama utaamua kumchinja kumbuka kutoa carpet usilijaze damu. Mtasema hana influence ya kuhalalisha au kuharamisha kitu, na ni kweli, ila yeye ndie alitoa mwelekeo wa thread na kila alie changia kwa kumsupport (na kila alie "like" thread yake) ameongeza sauti lake kwenye mada na hivo msomaji wa kawaida (mimi na wewe) tunahisi kuna watu wengi sana wanamtazamo huo. Kwa mtu alie kua na nia ya kwenda nje, au Yule tayari anatembea nje ya ndoa, ni ruhsa tosha ya kuendelea katika njia hiyo.
  2. Pili, kama ikitokea mtu aanguke na atoke nje ya ndoa, shauri la kumpa sio namna gani aifanya hali hiyo iwe shwari na idumu, bali nikumshauri namna gani anaweza kujitoa katika mtego huo. maada ya thread hii sio kutoa huo ushauri, labda nitarudi baadae.
  3. La tatu na lililo nikwaza zaidi ni heshima ndogo ya utaratibu mzima kwa wanawake, iwe nyumba kubwa au nyumba ndogo. Kwa namna nilisoma thread (kama nilikosea naomba anikosoe) kila kitu kina husisha kugawa hela kati ya nyumba kubwa na nyumba ndogo (material distribution) na heshima/mtazamo wa ndugu na rafiki. sikuona katika thread hiyo mapenzi yanawekwa wapi, heshima ya muhusika kwa nyumba kubwa, au nyumba ndogo, watoto, tegemeo za watu wengine na kadhalika vikija katika hesabu.
Katika dunia ya JF, ni sawa kuanzisha thread kama hiyo ila dunia ya kweli ambayo ninaishi mimi, na wengine wengi, hivyo vitu vipo. Mtu anaheshima yake na akienda kwa nyumba ndogo conscience yake inamsumbua. kuna mapenzi kati ya yeye na nyumba kubwa, au kati ya yeye na nyumba ndogo, au yuko in transition, akitoa mapenzi kwa bimkubwa kwenda kwa nyumba ndogo(or whatever the case). Pia wanawake hao ni binadamu na wana akili, tumaini, na hisia zote za kawaida. wanapiga hesabu za maisha na kusema kesho nataka mimi na mpenzi wangu tuwe hivi, na hivi, na hivi. na wanatumia njia mbali mbali za kumshawishi mwanaume afate hizo njia.
Kwa kumalizia nataka kukumbusha kama kila mtu ana mtazamo wake wa haya mambo na nina heshimu mtazamo wa kila mtu. Huu hapa ni mtazamo wangu na naomba uheshimiwe pia. Sijakataza kutoa maoni yenye kupinga mtazamo, nimeomba tu tuchangie kwa heshima.
Asanteni.

Nyumba ndogo ambaye si mke siyo sawa kabisa..

Lakini kuoa mke zaidi ya moja (mbili, tatu hadi nne) ni halali na haki..

Faida zake..
1. Uchumi ukiwa na wake wawili unachangamka zaidi unatafuta zaidi na unakuwa ideas kutoka conflicting angles

2. Kuwa busy kuondokana na infedality..

3. Kuwa na familia kubwa (wengine tunapenda kuona watoto kumi nk)

4. Kupunguza idadi ya wanawake wasiolewa (wasiokuwa na familia)..note. world ration women vs men (tunaita nusra)

Angalizo kwa wanaume: Kama huna uwezo wa kufanya maamuzi magumu dunia yako itakuwa hell (experienced men)
 
cheating.jpg

hebu nijibu ww nipate maoni yako mana ww ni kajumba kadogo halisi.

Wahenga walisema, kikulacho ki nguoni mwako. Wanawake mnalalamika hapa wakati waume zenu wanawatafuna hata marafiki zenu wa karibu...Mfano kwenye picha hapa!

Trust.jpg
 
Back
Top Bottom