unamuita malaya kwasababu anavua chupi, basi binadamu wote ambao tunaakili timamu, ambao lazima tuvue chupi ili kubadilisha na kuziosha tu malaya, yaani pamoja nawewe!
Teh!teee! Umenikumbusha mbali.ukiuza bidhaa kwa kuitembeza huku unaitaja kwa sauti basi unaweza kuitwa jina la bidhaa yako.mf.kama ni mboga utaitwa mboga. Kama unauza utumbo utaitwa utumbo. Je anayeuza mwili wake ataitwaje? Mvua chupi ataitwa mvua chupi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.