Jibu hesabu yangu, wengi mtafeli hapo

Kuna Hesabu zinaitwa 'Series and Sequence's
Kama utatumia hiyo jibu ni 90
Hesabu hazitaki shortcut zina formula zake
Kama unajua hesabu ina formula. Umesha ona wapi formula ya 4+4=20 au 5+5=30? Kumbuka hapo katikati hakuna valuable yoyote.

9+9= 18. Hakuna cha series apo. Ilo ndilo jibu sahiii. Hata kama una mtoto atakucheka. Toka lini 9+9= 90?

I though the same you know, ur right the answer is 90 but that was my way through.
 
Hiyo hesabu nikama hesabu ya mauzo dukani mtaji sh12 akapata faida siku ya kwanza ya 4+4 = sh8 jumlisha mtaji=sh20
Siku japili faida ikawa 5+5=sh10+ sh20 jumla= sh30 inaendelea hivyo hivyo ndo mana jibu 74
 
Kuna Hesabu zinaitwa 'Series and Sequence's
Kama utatumia hiyo jibu ni 90
Hesabu hazitaki shortcut zina formula zake
Hupo sawa tatizo lipo hapo kama ukuambiwa hesabu husika ni katika mfumo gani jibu ni 74 ila ingekuwa katika series na sequence's jibu ni 90 hivyo hapo jibu sahii ni 74
 
Hupo sawa tatizo lipo hapo kama ukuambiwa hesabu husika ni katika mfumo gani jibu ni 74 ila ingekuwa katika series na sequence's jibu ni 90 hivyo hapo jibu sahii ni 74
Siyo kila 3.14 au ²²/7 ni pai hivyo hesabu zina majina hivyo mnaosema jibu ni 90 wakati amkuambiwa hiyo hesabu ni series na sequence ni sawa na kusema kila huonapo ²²/7 ujue ni pai tena nisawa na kusema lugha zina fasihi 2 wakati fasihi za lugha ni 3
1 fasihi andishi
2 fasihi elezi
3 fasihi ishara. Hata mabubu wanayo fasihi ishara
 
Back
Top Bottom