Jibu hesabu yangu, wengi mtafeli hapo

Kama unajua hesabu ina formula. Umesha ona wapi formula ya 4+4=20 au 5+5=30? Kumbuka hapo katikati hakuna valuable yoyote.

9+9= 18. Hakuna cha series apo. Ilo ndilo jibu sahiii. Hata kama una mtoto atakucheka. Toka lini 9+9= 90?
Jiulize kwanza kafanya nn mpaka kapata hvyo.
5+5=30
Usiwe mvivu wa kufikiri hesabu ipo sahihi kabisa kama hauiwezi kuwa mpole.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom