Jibu hesabu yangu, wengi mtafeli hapo

Siyo kila 3.14 au ²²/7 ni pai hivyo hesabu zina majina hivyo mnaosema jibu ni 90 wakati amkuambiwa hiyo hesabu ni series na sequence ni sawa na kusema kila huonapo ²²/7 ujue ni pai tena nisawa na kusema lugha zina fasihi 2 wakati fasihi za lugha ni 3
1 fasihi andishi
2 fasihi elezi
3 fasihi ishara. Hata mabubu wanayo fasihi ishara
Ww hujui hesabu...endelea NA fasihi ndio unayoiweza
 
Back
Top Bottom