Jibu hesabu yangu, wengi mtafeli hapo

Jibu hesabu yangu, wengi mtafeli hapo

90

Leta jingine, haya ndio mambo yangu [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Masahihisho

4+4=20
5+5=30 { 5+5=10}
6+6=42 {6+6=12}
7+7=56 {7+7=14}
[8+8=72 {8+8=16}] ILIYORUKWA
9+9=??? {9+9=18}
chukka 72+18

JIBU NI 90
 
Issue si jibu,ila njia iliyotumika kuapata hilo jibu.Angalia hapa
A.4+4=20
B.5+5=30
C.6+6=42
D.7+7=56
E.8+8=72
F.9+9=90
Jibu la 90 limepatikana baada ya kutoa tofauti kati ya jibu la A na B ambayo ni 10,B na C ambayo ni 12,C na D ambayo ni 14,D na E ambayo ni 16,E na F ambayo ni 18 na kujumlishwa na 72 inayotokana na 8+8=72.
 
90

Acha utani kwa hivi viswali vyako vya kipuuzi...haya ndo mambo yangu, pitisha mbali na mimi
 
Back
Top Bottom