Jibu hesabu yangu, wengi mtafeli hapo

Tofauti ni kuwepo kwa ongezeko la 2 kwa Kila jibu. Na kwa vile 8 hapo ilitakiwa kuwa 72 badala yake imejitokeza 9+9 badala ya 8+8
JIBU NI 74 badala ya 72
 
Hapo Maana yake unachukua namba ya CHINI unazidisha Na ile ya juu. Ndiyo Maana kapata ifuatavyo

4x5=20
6x5=30
7x6=42
8x7=56
Kwa hiyo Hapo Kwenye 9 unachukua namba ya CHINI ambayo Ni 10
10x9=90

Hapo jibu Ni 90
 
Back
Top Bottom